UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Mleta mada kama ungetoa tahadhari kama hizi kipindi kile cha kampeni ili watu wazingatie kujikinga na corona na kuacha kushindana kwa kujazana kwenye mikutano ya kampeni ya Lissu na Magufuli basi hata Mungu angekubariki na sasa watu wangekuelewa unachosema ni nini, lakini kama kipindi kile ilikuwa unajibu kuwa kumtoa Dikteta kwanza halafu ndio yanafuatia mengine basi nadhani waislamu nao sasa watajibu kwanza Allah halafu mengine yanafuatia.