Pamoja na January Makamba kutumbuliwa. Takukuru wampeleke Mahakamani na Maharage Chande kwa mkataba feki na Mahindra Tech akiwa Waziri wa Nishati

Pamoja na January Makamba kutumbuliwa. Takukuru wampeleke Mahakamani na Maharage Chande kwa mkataba feki na Mahindra Tech akiwa Waziri wa Nishati

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco?

Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu.

Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba kupitia Mahindra Tech.

Kesho apelekwe Mahakamani. Yeye na Maharage Chande.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Bilioni 80 kwenye mfumo wa Enterprise Resource Management hapa kweli ndugu kipara alituona watanzania ni 'mazwazwa'.

Ila bado kuna upigaji unaendelea hapo TRA umejificha kwenye 'mfumo wa kuajiri' i hope mafaili yatamfikia mama samia mezani. Tuombe uzima. Kodi tunazolipa ni lazima ziheshimiwe
 
Back
Top Bottom