Bilioni 80 kwenye mfumo wa Enterprise Resource Management hapa kweli ndugu kipara alituona watanzania ni 'mazwazwa'.
Ila bado kuna upigaji unaendelea hapo TRA umejificha kwenye 'mfumo wa kuajiri' i hope mafaili yatamfikia mama samia mezani. Tuombe uzima. Kodi tunazolipa ni lazima ziheshimiwe