johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia
Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na huko maeneo ya Kusini pia
Ahsanteni sana
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW 😂✔️
Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na huko maeneo ya Kusini pia
Ahsanteni sana
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW 😂✔️