johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Misikiti yote ni ya AllahTunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia
Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na huko maeneo ya Kusini pia
Ahsanteni sana
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW πβοΈ
Kanisa ni Ufalme na Mfalme ni Yesu KristoMisikiti yote ni ya Allah
ππShekh Rashid Rafsanjan Khomein
Huo msikiti umesajiliwa kwa jina kanisa la Ufufuo na uzima?Tunakumbushana tu kwamba Askofu Gwajima amekuwa akitoa Huduma za Kiroho kwa Waumini wa Dini zote akiwa na Majengo zaidi ya 2000 ya kuabudia
Pale Salasala alijenga Msikiti unaotumika hata sasa na huko maeneo ya Kusini pia
Ahsanteni sana
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW πβοΈ
Ni kweli ndiyomaana yanaishi majini humo.Misikiti yote ni ya Allah
Na gwajima kila siku huwa live anawatoa majini hayo. Si unamuona?Ni kweli ndiyomaana yanaishi majini humo.
TaqwaHuo msikiti umesajiliwa kwa jina kanisa la Ufufuo na uzima?
Kwani ukisema Allah kwa kiswahili kuwa ni mungu ainogi.Misikiti yote ni ya Allah
ππKwani ukisema Allah kwa kiswahili kuwa ni mungu ainogi.
Yani kuongea kiarabu ndio kuwa unajua dini au?View attachment 3408675