Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Lipeni pesa za Dube mnajifanya kuchangisha pesa ya tofari kwani mnaujenzi gani?
Au makombe yametoboka mnataka kuyajenga, haya tumeshajua hamna ela mmeanza kupitisha mabakuli et tofari la ubingwa 🤣🤣🤣 haya sawa mlipeni dube pesa zake.
Sisi kama Simba sports club na sisi kama mabigwa Afrika ambao timu za kiarabu zinahaha kwetu tuseme tumefurahishwa sana.
Yaani mnakopa adi wachezaji kweli