Pamoja na kero za Dar es Salaam mbona huhamii mkoani?

Pamoja na kero za Dar es Salaam mbona huhamii mkoani?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Pamoja na kero za Dsm usafiri wa shida / foleni, uhalifu, maisha kuwa juu, umeme, ukosefu wa maadili, n.k. kwanini huhamii mikoani kwenye unafuu?

Bila kusahau tatizo la maji

KWANINI HUHAMII MIKOANI?
 
Mikoani hakuna kidimbwi
Kama wapenda starehe zipo mkuu,

lengo likiwa kulewa utalewa, pombe zipo za kutosha
lengo likiwa kula nyama choma utakula utasaza
Kama unapenda pisi ni mbuga, utagharamia inayokuvutia
 
Sikatai kuwa maisha popote. Lakini,ukishindwa jiji la Dar,mikoani hupawezi.

Sababu ikiwa moja: Dar ni jiji kubwa,lenye kila aina ya fursa. Mfano wa karibu. Muuza maji,juice na vyakula wa mikoani,hawezi kufikia wateja wa Dar.

Hivyo hivyo kwenye mishe nyingine,ukiwa na kianzio,Dar ni rahisi kuzunguusha tofauti na mikowani. Wingi wa watu,ndo fursa kwa mtafutaji
 
unaweza kuta hyu aliendika hv ni mbunge afu ni waziri kabsa 😳
nmetamani kulia 🥲😢🥹 kodi zetu wakuu
 
Maisha ya dar hapa unapambana Ili uishi dar[emoji2] malengo kufikia ni shughuli mno otherwise ujitambue sana, maana vijana wanishi expensive life kipato kidogo ili kuwaamisha wa mkoani kuwa hawateseki ila kiukweli dar watu wanastrugle sana na wanateseka [emoji1787] ubishi tuu... NAKAZIA,,,, ubishi tuu
 
Dar ni jiji kubwa,lenye kila aina ya fursa. Mfano wa karibu. Muuza maji,juice na vyakula wa mikoani,hawezi kufikia wateja wa Dar.

Hivyo hivyo kwenye mishe nyingine,ukiwa na kianzio,Dar ni rahisi kuzunguusha tofauti na mikowani. Wingi wa watu,ndo fursa kwa mtafutaji
 
Back
Top Bottom