Pamoja na kuchaguliwa baed wameninyima mkopo.

Joined
Jun 15, 2013
Posts
22
Reaction score
5
Namshukuru mungu kwa kuwa mzima kwani naamini nitaendelea kupambana ili nifanikiwe maishani. Nadhani hapa ndo mwisho wa elimu japo ninatamani kuwasaidia watoto wengi wa masikini wanaoteseka kwa kukosa waalimu ila bodi imenikatili.
 
ttnakushauri ndugu anza na diploma.nenda chuoni moja kwa moja.nipigie nkuelekeze 0712336687
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…