JUMBE ABDALLAH
Member
- Jun 15, 2013
- 22
- 5
Namshukuru mungu kwa kuwa mzima kwani naamini nitaendelea kupambana ili nifanikiwe maishani. Nadhani hapa ndo mwisho wa elimu japo ninatamani kuwasaidia watoto wengi wa masikini wanaoteseka kwa kukosa waalimu ila bodi imenikatili.