Kutojipanga kwa CHADEMA kwa uchaguzi ndio kukahalalisha kuandikisha hadi wafu na watoto wa shule, kuua wagombea wa upinzani hadi kuzuia kuapisha mawakala wa upinzani?Chadema hakujipanga na uchaguzi hata lisu aliwambia ukweli Sasa wewe chawa wa Mbowe utasema Nini au huko chadema machawa mnaingia kwenye kamati za chama?
Kupenda CCM lazima uwe mnufaika, mpumbavu au mshirikina. Wewe uko wapi hapo?