Pamoja na kuhangaika kuimbia CHADEMA, Ney wa Mitego hajawahi kualikwa katika mkutano mkuu wa CHADEMA

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Fadhila mfadhili mbuzi.

Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.

Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
 
Fadhila mfadhili Music.

Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.

Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chocho

Fadhila mfadhili Music.

Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.

Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
Dust bin post.
 
Hili Roma mkatoliki, amelielezea vizuri sana, ni kweli CDM ama kwa kukusudia au kwa kujisahau huwa hawana utaratibu wa kuwasupport wasanii wao wanaowatumia kwenye kampeni.

Fadhila mfadhili Music.

Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA.

Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote

..mnawapumbaza sana wasanii.
 
Unapoamua kusupport upinzani unakuwa umeamua kubeba machungu yanayoambatana na maamuzi yako hayo.
Upinzani hawana serikali, hawana bank kuu, hawana tra, hawana uchumi wa kumwaga minoti kama wafanyavyo CCM so tunakosea sana kutaka kuwalinganisha CHADEMA na Chama kilichoshika utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…