Pamoja na Kukaa Miezi 2 Nje Majeruhi Messi Amemkaribia Sana C7 Magoli

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Lionel Messi akiwa na Magoli 3 tu alipata majeraha yaliomuweka nje ya dimba kwa takriban miezi miwili wakati huo Christian Ronaldo akiwa na goli 7,ikaanikwa hapa kuwa Messi anaweza rejea na kumkuta mshindani wake na kumpita ktk wafungaji bora ktk la liga...watu wengine hapa wakapinga
Sasa jana Messi kapiga Hat trick na kufikisha mabao 9 tofauti ya goli 5 na C7 mwenye mabao 14,bi wazi kwa kasi hii ya Messi anayetajwa kua atatangazwa jmatatu hii kwenye ballon d' O kuwa mshindi..anaenda kumpita Cr7 kwa magoli..
 
...uzuri wa kale kajamaa kanafunga for fun,hakashindani na mtu.Sio yule mwingine asipopewa pasi anakunja uso bila aibu!
 
Na bado messi ana mechi moja mkononi na vibonde sporting gijon
 
We bado tu unaushindani Wa messi na ronaldo kalaghabao!!!

unataka awe mshindani wa nani kama sio wa messi! hakuna kama mesi nakuambia..na hakuna aliefikia uwezo wake hadi sasa na hatatokea mpaka astaafu soccer, ni hayo tu
 
Last edited:
unataka awe mshindani wa nani kama sio wa messi! hakuna kama mesi nakuambia..na hakuna aliefikia uwezo wake hadi sasa na hatatokea mpaka astaafu soccer, ni hayo tu
Messi habari nyingine ktk sayari hii ...leo jmatatu saa mbili usiku huenda anatangazwa mchezaji bora wa dunia ktk ballon d'O
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…