ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Lionel Messi akiwa na Magoli 3 tu alipata majeraha yaliomuweka nje ya dimba kwa takriban miezi miwili wakati huo Christian Ronaldo akiwa na goli 7,ikaanikwa hapa kuwa Messi anaweza rejea na kumkuta mshindani wake na kumpita ktk wafungaji bora ktk la liga...watu wengine hapa wakapinga
Sasa jana Messi kapiga Hat trick na kufikisha mabao 9 tofauti ya goli 5 na C7 mwenye mabao 14,bi wazi kwa kasi hii ya Messi anayetajwa kua atatangazwa jmatatu hii kwenye ballon d' O kuwa mshindi..anaenda kumpita Cr7 kwa magoli..