Tangu lini mafisi wanaombeana kheri?
Tena bora wameacha kumdhihaki Mungu.
Si Samia anayestahili kuongoza maombi ya kheri na wala si Ndugai anayestahili kuombewa kheri.
Tuishini vizuri na watu tunapokuwa hai, tuepuke tabia za akina Ndugai, Samia na sisiem kwa ujumla. Kuna watu safi wanaoweza kutenga muda wao kukuombea kheri, ukiishi nao vibaya ukategemea kuombewa kheri na watu design ya akina Samia basi umefanya biashara kichaa.