Wanahangaikaje?Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
Walaaaa! Mkuu we endelea tu kuwapiga kwenye mshonoTusiseme ukweli?
TAbu kweli kweliKampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
Mgombea analinganisha ccm na chadema mfano tonetone anashindwa kusema wale masingasinga waliomchangia pesa ya kampeni atawalipa nn baada ya yye kushinda?Wanahangaikaje?
Eti bhanaTusiseme ukweli?
CCM ni wapumbavu snKampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
CDM hawataki kuona watu wakitekwa na kuuwawaIli ccm itrend lazima wawasumbue chadema