Pamoja na kuruhusu Bunge Live ni muhimu sasa Vituo vya Runinga viruhusiwe kushoot live kwa kamera zao

Pamoja na kuruhusu Bunge Live ni muhimu sasa Vituo vya Runinga viruhusiwe kushoot live kwa kamera zao

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Tunashukuru Serikali kwamba mmeruhusu Bunge Live kurejea. Sasa tunaomba muondoe huu utaratibu/urasimu wa kulazimisha Vituo vya Televisheni kuchukua matangazo mubashara kutoka chanzo cha Bunge TV/TBC1.

Ubora wa vyanzo hivi ni hafifu, tunaomba mruhusu kila kituo i.e Azam TV, Star TV na TBC kila mtu apige picha zake. Bunge TV iendelee kurusha kwenye chaneli yake ambazo tuna uhakika mnazo online TV na mpate chaneli yenu kwenye mainstream.

Bado Bunge Office mnaweza kusimamia censorship vizuri tu kwa utaratibu mzuri.
 
Back
Top Bottom