ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa Iyo miaka yote minne simba walikua wanacheza vibayaIngawa mimi sio Simba ila worldwide the Mark of Champions is Winning even when Playing Badly....
Na huwezi kufungwa kama hujafanya makosa kwenye kuzuiaNamungo hawakuwa makini kwenye lile shambulio lililozaa goli la kwanza laiti kama wangefaulu kuzuia shambulio lile la mapema saa hizi tungekua tunaongea mengine
Tukumbuke Aishi ameokoa mipira ya hatari kati ya miwili au mitatu ambayo ilikua ikielekea langoni mwa simba..lakini bahati haikua kwao Namungo...lkn kwa mchezo ule hata Simba angepigwa tu
Sasa leo mtaani kelele zimekua nyingi sana...wamesahau siku 50 hivi zilizopita watu walifurahia na kushangilia draw wiki nzima hapa,ki ukweli bado kiwango kidogo sana simba...eti leo wanamsifia sakho wakati juzi tu walikua na mpango wa kumfukuza
Tusiongee sana tukutane kwenye FA na NBC Premier League.
Hapo sasa!anajificha kwa shamba la Katanga![emoji2][emoji2][emoji2]1.Kwani Manula si mchezaji wa Simba?
2.Umehesabu pia mipira aliyozuia kipa wa Namungo?
3.Namungo walishindwa kuzuia mashambulizi ya timu yenye kiwango dhaifu, je sasa hao Namungo wao kiwango chao kilikuaje?
4.Hutaki mashabiki wa Simba washangilie ushindi wa timu yao?
5.Tatizo ni Simba au Azam?
Acha kujificha kwenye shamba la karanga.
Exactly kabisaIngawa mimi sio Simba ila worldwide the Mark of Champions is Winning even when Playing Badly....
Bado sana ukilinganisha na Nani Bongo hapa? Anyway, unaonekana unaongea ukiwa umepaniki kwa kuchomolewa mwiko Jana. Kubali tu kuwa yanga ni bendi ya wanamuziki kutoka Kongo.Namungo hawakuwa makini kwenye lile shambulio lililozaa goli la kwanza laiti kama wangefaulu kuzuia shambulio lile la mapema saa hizi tungekua tunaongea mengine
Tukumbuke Aishi ameokoa mipira ya hatari kati ya miwili au mitatu ambayo ilikua ikielekea langoni mwa simba..lakini bahati haikua kwao Namungo...lkn kwa mchezo ule hata Simba angepigwa tu
Sasa leo mtaani kelele zimekua nyingi sana...wamesahau siku 50 hivi zilizopita watu walifurahia na kushangilia draw wiki nzima hapa,ki ukweli bado kiwango kidogo sana simba...eti leo wanamsifia sakho wakati juzi tu walikua na mpango wa kumfukuza
Tusiongee sana tukutane kwenye FA na NBC Premier League.
Shamba la karanga? 🤣🤣🤣1.Kwani Manula si mchezaji wa Simba?
2.Umehesabu pia mipira aliyozuia kipa wa Namungo?
3.Unajua msemo wa, "mpira ni mchezo wa makosa"?
4.Namungo walishindwa kuzuia mashambulizi ya timu yenye kiwango dhaifu, je sasa hao Namungo wao kiwango chao kilikuaje?
5.Hutaki mashabiki wa Simba washangilie ushindi wa timu yao?
6.Tatizo ni Simba au Azam?
Acha kujificha kwenye shamba la karanga.