ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Namungo hawakuwa makini kwenye lile shambulio lililozaa goli la kwanza laiti kama wangefaulu kuzuia shambulio lile la mapema saa hizi tungekua tunaongea mengine
Tukumbuke Aishi ameokoa mipira ya hatari kati ya miwili au mitatu ambayo ilikua ikielekea langoni mwa simba..lakini bahati haikua kwao Namungo...lkn kwa mchezo ule hata Simba angepigwa tu
Sasa leo mtaani kelele zimekua nyingi sana...wamesahau siku 50 hivi zilizopita watu walifurahia na kushangilia draw wiki nzima hapa,ki ukweli bado kiwango kidogo sana simba...eti leo wanamsifia sakho wakati juzi tu walikua na mpango wa kumfukuza
Tusiongee sana tukutane kwenye FA na NBC Premier League.