Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

Pamoja na kushindwa kulipa kodi, Diallo bado anaomba Uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza!!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii inaingia akilini kweli?

Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
 
Huwa hawaachi, mpaka waachishwe, wanajua ccm ni kichaka cha wizi
 
Hii inaingia akilini kweli?

Mamadou Anthony Diallo bado yumo na anatarajia kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza
Mkuu mbona nasikia aliyeshindwa kulipa kodi ni Sahara Media Ltd, a legal persona entity distinct from its oweners, and not Mr. Diallo in his personal capacity. Nisaidie hapo.
 
Kukwepa kulipa kodi na kushindwa kulipa kodi ni vitu viwili tofauti.

Kushindwa kulipa kodi na kufilisiwa/kufilisika ni vitu viwili tofauti.

Kukwepa kodi ni kosa kisheria ambalo linakufanya upoteze haki ya kuwa kiongozi katika serikali na chama.

Unaweza kushindwa kulipa kodi kwa wakati lakini ukaongea na mamlaka ya kodi mkakubaliana njia nyingine mbadala.

Kumbuka pia kampuni ni legal entity.
 
Dialo ni Dialo na Sahara ni Sahara.

Ni kama tulivyokubaliana kuwa Mbowe ni Mbowe na Bills ni Bills.
 
Back
Top Bottom