Kukwepa kulipa kodi na kushindwa kulipa kodi ni vitu viwili tofauti.
Kushindwa kulipa kodi na kufilisiwa/kufilisika ni vitu viwili tofauti.
Kukwepa kodi ni kosa kisheria ambalo linakufanya upoteze haki ya kuwa kiongozi katika serikali na chama.
Unaweza kushindwa kulipa kodi kwa wakati lakini ukaongea na mamlaka ya kodi mkakubaliana njia nyingine mbadala.
Kumbuka pia kampuni ni legal entity.