Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mbona Aden Rage ni Kiongozi Simba na ni Mbunge! uende kulalaNinashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
what is the probl. Waziri ni mbunge, mbunge ni body member Tanesco, na Tanapa. Achilia mbali ukuu wa mkoa
The Problem ni wa CHADEMA
what is tato??????????????????
Mkuu kwa hili naomba niseme kwamba una kiherehere!!!!!!!!!1Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
Sofia SIMBA:Mwenyekiti wa UWT, Mbunge wa JMT, Mbunge was SADC, Waziri wa Jinsia na watoto,