what is tato??????????????????
Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu lakini bado ni kibosile wa TATO...............yaani kweli old habits die hard...................
Kimsingi mimi naweza kusema kam a hakuta kuwa na conflict of interest sioni kama kuna tatizo. Maana hata hiyo nafasi ya ukatibu TATO huwezi kujua ina nafasi yake ya uwakilishi.
Vipi hapa??????
Mama Rwakatare aache kanisa awe Mbunge kabisa??
Lowasa ajitoe kwenye umiliki wa makampuni yote aliyonayo ili a-concentrate kwenye uwakilishi bungeni?
Sophia Simba aache umwenyekiti UWT awe mbunge tu???
Orodha inaendelea...............