Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wewe wasema.Chato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!
Chato chato chato! Why chato? Kuna nn hasa? Kueni wazalendo kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakutaka ufahari kwao wala kwake.Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.
Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
Rejea azimio la bunge lililoazimia wakamatwe na kupandishwa kizimbani.Hao Mafisadi waliwahi kushikwa na hatia katika mahakama yeyote!?
Nyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote bure kabisa CCM.Chato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!
Inaweza kuwa Manispaa.
Sio hitaji la Chato na wanachato yalikuwa matamanio ya JPM, hata kuipa hadhi ya manispaa kutawaongezea wananchi wa Kijiji kile garama za maisha kwa Tozo ,ushuru.Ni ujinga kulazimisha Mambo .Chato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!
Inaweza kuwa Manispaa.
Tumia common sense kabla ya kupost. Mvuta bangi na machinga ni watu wa kulinganisha?Kumuenzi mtu sio lazima ukabaliane na mawazo yake yote kama wewe huna ubongo kwanza na yeye ni binadamu kama wewe anaweza kukosea vilevile, mfano ni hilo la wamachinga haiwezekani kuwaacha wawe holela tu huku wakivunja sheria za nchi kama wao wana sheria zao tofauti kwa kisingizio cha unyonge au kupiga kura kwani kama unyonge ni umasikini basi nchi nzima zaidi ya 90% ni maskini na kama kupiga kura makundi yote nchi hii ni wapiga kura hata wanywa gongo na wavuta bangi nao ni wapiga kura sasa je na wao waachiwe wafanye wanavyotaka?
Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
Wote ni wanyonge na wapiga kura,si ndio vigezo alivyokuwa akivisema huyo mnayemuona ni Mungu mtu mnayetaka watu wote wafuate falsafa zake!Tumia common sense kabla ya kupost. Mvuta bangi na machinga ni watu wa kulinganisha?
Magufuli akifufuka leo na akaona jinsi nchi inavyoendeshwa. Halafu akawekewa mbele ya Samia Na Mbowe ili achague yupi Gaidi na yupi sio Gaidi. Nina uhakika kwa 1000% atasema Samia ni Gaidi na akamatwe mara moja.Kuna masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.
Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
Basi hata kikwete alitakiwa kukamatwaRejea azimio la bunge lililoazimia wakamatwe na kupandishwa kizimbani.
KabisaChato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!
Inaweza kuwa Manispaa.
Alitajwa na bunge?Basi hata kikwete alitakiwa kukamatwa
Alikingiwa kifuaAlitajwa na bunge?
VIGEZO VYA KUWA MKOA NI VIPI?