Pamoja na kuwa Chato itatangazwa mkoa kwenye kilele cha mbio za Mwenge Oktoba 14, ukweli ni kuwa CCM haiyaenzi mema ya hayati Magufuli

USIHOFE,,CHATO HAITATANGAZWA KUWA MKOA KWANI SAMIA NA KIKWETEW HAWAPENDI ..NDO MAANA WAZIRI MKUU BUNGENI ALISEMA WAMEAMAUA KUTOONGEZA MAENEO YA KIUTAWALA HADI SENSA IFANYIKE,


 
Unaweza ukawa unaheshimiwa midomoni mwa watu na sio mioyoni mwa watu.
 
Dikteta Hana zuri la kumuenzi,
 
USIHOFE,,CHATO HAITATANGAZWA KUWA MKOA KWANI SAMIA NA KIKWETEW HAWAPENDI ..NDO MAANA WAZIRI MKUU BUNGENI ALISEMA WAMEAMAUA KUTOONGEZA MAENEO YA KIUTAWALA HADI SENSA IFANYIKE,
Wasukuma humu JF na misukule ya dikteta, kutwa mnamtukana Samia, halafu yeye atakuwa mjinga kiasi gani aruhusu chato iwe mkoa
 
Wasukuma humu JF na misukule ya dikteta, kutwa mnamtukana Samia, halafu yeye atakuwa mjinga kiasi gani aruhusu chato iwe mkoa
IE SIYO MSUKUMA NA NIKO NDANI YA SYSTEM,, NIMEMUJIBU KILICHOPO..JE HIVI ENEO KUWA MKOA KIGEZO NIKUWA MJI UWE UMEENDELEA SANA AU NI VIGENZO GANI KWANI NAONA UNASEMA ENEAO HALINA VIGEZO
 
Na hao hapo chini waliochuchumaa/piga magoti ni wanachato wemyewe. si eti?
 
Chato haifai kuwa mkoa
Ni kuangalia vigezo tu jombaa. Kama havitoshi Mama alisema watashauriwa wavikidhi. Mfano ukubwa wa eneo, unamega huku na pale tosha! Ukiishafanya hivyo, na idadi ya watu inaingia mulemule. Vyanzo vya mapato vipo. Vinaweza kuongezwa ikibidi. Kinachobaki hapo ni maamuzi ya wenye mamlaka. Kwisha!!!
 
Kwamba chato itoke kuwa halmashauri ya wilaya mpaka iwe mkoa.
Kama wanataka chato iwe mkoa basi wabadili jina la mkoa wa geita uiitwe mkoa wa chato na makao makuu yake yahamishiwe chato. Over
 
Chato haijatimiza vigezo vya kuwa mkoa!

Inaweza kuwa Manispaa.
Ilishatimiza na itakuwa jiji la chato.
Pia Butiama na Lupaso zitagazwe kuwa mikoa siku hiyo hiyo ili tuwaenzi wote bila unafiki kwa pamoja
 
Chato ina hadhi ya tarafa mkuu
 
CCM IPO kabla ya awamu ya 5.....

Changamoto za nchi zipo kila awamu......

Hayati Mkapa aliibinafsisha benki ya NBC kipindi Cha uhai wa hayati baba wa taifa......


#NchiKwanza
#SiempreCCM
 
Magufuli akifufuka leo na akaona jinsi nchi inavyoendeshwa. Halafu akawekewa mbele ya Samia Na Mbowe ili achague yupi Gaidi na yupi sio Gaidi. Nina uhakika kwa 1000% atasema Samia ni Gaidi na akamatwe mara moja.
Nchi ilikuwepo kabla ya hayati JPM na itaendelea kuwepo hata baada ya mh.Rais SSH.....

#SiempreJMT
 
Chato haiwezi kuwa mkoa, na isitoshe hakutakuwa na mabadiriko yoyote ya kiutawala mpaka sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwakani.

Sukuma gang mtaendelea kuweweseka sana, kama mnadhani mkoa unakuja tu kiholela basi Chalinze na Bagamoyo pia watataka mikoa yao.
 
Chatto inapiganiwa kuwa Mkoa kwa kuwa imetimiza vigezo au kwa kuwa iliwahi kutoa Rais wa Jamhuri au kwa kuwa tunataka kutuliza fukuto la 'Watikrit' wa Kanda ya Ziwa?
 
Mpaka sasa yalishafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…