mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Mipango ya Chato kuwa mkoa ilikuwa ikiratibiwa na dikteta uchwara mwenyewe kimyakimya mpaka siku ya mazishi yake ndio yule mzee akaropoka ndio umma ukastuka na Mama akawajibu palepale.Chatto inapiganiwa kuwa Mkoa kwa kuwa imetimiza vigezo au kwa kuwa iliwahi kutoa Rais wa Jamhuri au kwa kuwa tunataka kutuliza fukuto la 'Watikrit' wa Kanda ya Ziwa?
una masuala kadha wa kadha ambayo yameibuka na kukatisha tamaa wananchi wa kawaida. Tozo ambazo kiuhalisia ni makandamizo kwa wananchi wa kawaida. Wamachinga kuondolewa kimabavu kwenye miji mikubwa na mafisadi kuavhiwa huru kana kwamba hawakuliibia taifa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha kuwa Ccm haienzi yale hayati JPM aliyasimamia.
Kuna uwezekano mkubwa sana kuwa Chato itatangazwa kuwa mkoa. Na hii sio justification kuwa Ccm ya awamu ya sita inamuenzi hayati JPM. Hii ni danganya toto na siasa za kinafiki . Maana Ccm hii chini ya rais Samia haisimamii yale ambayo hayati JPM aliyasimamia.
View attachment 1953542
Nje ya mada kidogo, ukatili upi? Ubinafsi upi? Maana kama angekuwa mbinafsi sijui kama angejitoa namna hii kwa taifa lake. Fafanua broHakuna mtu anaweza kusimamia mambo ya jitu katili, libanafsi na mumiani. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Cheto ni kwetu ila hata hadhi ya kuwa Mji Mdogo bado lakini nashangaa eti ni Wilaya!Wewe wasema.
Nje ya mada kidogo, ukatili upi? Ubinafsi upi? Maana kama angekuwa mbinafsi sijui kama angejitoa namna hii kwa taifa lake. Fafanua bro