Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.

Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.

Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo?

Je ni halali kwa mataifa yote kutumia kalenda hizi feki kana kwamba dunia ilianza walipoanza imani zao?
Sasa tuna AI.

Kwanini dunia isiwe na kalenda isiyofungamana na uongo huu wa wazi?
 
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya kikristo?
Je ni halali kwa mataifa yote kutumia kalenda hizi feki kana kwamba dunia ilianza walipoanza imani zao?
Sasa tuna AI.
Kwanini dunia isiwe na kalenda isiyofungamana na uongo huu wa waz
 
au soma au kutafiti kitu kinaitwa inter gravissmas utajua hujui unachoongea mwanangu.
Calendar hii ni gregorian (papa gregory,1500CE) aliyeagiza kalenda ya Julius Caeser (46BCE) iboreshwe, Caeser hakuwa mkristu,kumtumia yesu kama historical figure haiifanyi kalenda kuwa ya kikristo,ni sawa na siku ya uhuru wa tanganyika au el nino tanzania au tsunami mashariki ya mbali iwe point of reference ya kuhesabu
 
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.

Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.

Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo?

Je ni halali kwa mataifa yote kutumia kalenda hizi feki kana kwamba dunia ilianza walipoanza imani zao?
Sasa tuna AI.

Kwanini dunia isiwe na kalenda isiyofungamana na uongo huu wa wazi?
Kalenda ya kikiristo ipi? Na waislam wanatumia kalenda ya kikiristo wapi? Ktk ibada zao? Fungal? Hijja? Mwaka mpya wa kiislamu?
 
So simpo. Wewe unapoulizwa umri wako au ulizaliwa lini, huwa unatumia kalenda gani? Kama huijui ni hii inayotumiwa na dunia nzima sasa ambayo inakwambia kuwa leo ni Ijumaa au Jumamosi nk. Simpo.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hakuna kalenda ya kikristo
Kalenda inayotumika kwa wingi duniani ni hii inayoitwa "The Gregorian Calendar" ambayo inasema leo ni tarehe 28/12/2024. Usisahau Cardinal Gregory alipewa maelekezo na Papa wa wakati huo kurekebisha kidogo "The Julian Calendar" iliyokuwa inatumika kabla.

Kalenda ya Cardinal Gregory iliongeza siku nahisi 11 kwenye ile kalenda ya awali ya Cardinal July. Wote walipewa maelekezo na Mapapa wa vipindi vyao kuandaa kalenda inayoendana na "Mwaka wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume"!
 
Duniani nchi nyingi zinaendeshwa na mifumo ya kikristo, tutaachaje kutumia kalenda zao!?.

Ni kama mtu Uende vijijini usafiri ni wa malori halafu uhoji mbona hakuna daladala!?.
 
Washawishi pia waache kutumia magari, ndege, vifaa tiba, madawa yakitoka Kwa makafiri ni mengine utafiti umefanyika Kwa kutumia kitimoto.

Unasahahu kutokana na kalenda hihii Ukristo ulitangulia Kwa zaidi ya miaka 600, muda huu wote kuna watu huko Saudia walikuwa wanakomaa kuabudi mawe na mizimu, sisi huku bara la Giza ndio tulikuwa ndotoni kabisa.
 
So simpo. Wewe unapoulizwa umri wako au ulizaliwa lini, huwa unatumia kalenda gani? Kama huijui ni hii inayotumiwa na dunia nzima sasa ambayo inakwambia kuwa leo ni Ijumaa au Jumamosi nk. Simpo.
Kumbe jawabu ni simple tu. Dunia ya sasa haindeshwi na mfumo wa kiislamu, inshallah dunia ikifuata mfumo wa kiislamu kama zamani mfumo wa kalenda utabadilika dunia nzima
 
Ndoto nyingine bwana. Eti wafuate mfumo wa kiislam usiojitambua! Loh! Hii itawezekana vipi mwanangu? Baba elimu baba.
 
Soma history, wewe si umezaliwa juzi ukaona dunia hii? Unajua kama wamerekani walikuwa watumwa? Unajua miaka 50 dunia itakuwa vipi? Unajua miaka 50 dunia ilikua watu wakiishi vipi?
 
Duniani nchi nyingi zinaendeshwa na mifumo ya kikristo, tutaachaje kutumia kalenda zao!?.

Ni kama mtu Uende vijijini usafiri ni wa malori halafu uhoji mbona hakuna daladala!?.
Toka Sasa kijijini
 
Kalenda inayotumika kwa wingi duniani ni hii inayoitwa "The Gregorian Calendar" ambayo inasema leo ni tarehe 28/12/2024. Usisahau Cardinal Gregory alipewa maelekezo na Papa wa wakati huo kurekebisha kidogo "The Julian Calendar" iliyokuwa inatumika kabla.

Kalenda ya Cardinal Gregory iliongeza siku nahisi 11 kwenye ile kalenda ya awali ya Cardinal July. Wote walipewa maelekezo na Mapapa wa vipindi vyao kundaa kalenda inayoendana na "Mwaka wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume"!
Khawarizmi kuwa baba wa algorithms haiifanyi algorithms kuwa islamic,julian calendar ya Julius Caeser (hakuwa mkristu) iliyorekebishwa na gregory,haina ukristu wowote
 
Back
Top Bottom