Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya kikristo?
Je ni halali kwa mataifa yote kutumia kalenda hizi feki kana kwamba dunia ilianza walipoanza imani zao?
Sasa tuna AI.
Kwanini dunia isiwe na kalenda isiyofungamana na uongo huu wa waz
au soma au kutafiti kitu kinaitwa inter gravissmas utajua hujui unachoongea mwanangu.Hakuna kalenda ya kikristo
Calendar hii ni gregorian (papa gregory,1500CE) aliyeagiza kalenda ya Julius Caeser (46BCE) iboreshwe, Caeser hakuwa mkristu,kumtumia yesu kama historical figure haiifanyi kalenda kuwa ya kikristo,ni sawa na siku ya uhuru wa tanganyika au el nino tanzania au tsunami mashariki ya mbali iwe point of reference ya kuhesabuau soma au kutafiti kitu kinaitwa inter gravissmas utajua hujui unachoongea mwanangu.
Kalenda ya kikiristo ipi? Na waislam wanatumia kalenda ya kikiristo wapi? Ktk ibada zao? Fungal? Hijja? Mwaka mpya wa kiislamu?Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo?
Je ni halali kwa mataifa yote kutumia kalenda hizi feki kana kwamba dunia ilianza walipoanza imani zao?
Sasa tuna AI.
Kwanini dunia isiwe na kalenda isiyofungamana na uongo huu wa wazi?
So simpo. Wewe unapoulizwa umri wako au ulizaliwa lini, huwa unatumia kalenda gani? Kama huijui ni hii inayotumiwa na dunia nzima sasa ambayo inakwambia kuwa leo ni Ijumaa au Jumamosi nk. Simpo.Kalenda ya kikiristo ipi? Na waislam wanatumia kalenda ya kikiristo wapi? Ktk ibada zao? Fungal? Hijja? Mwaka mpya wa kiislamu?
Kalenda inayotumika kwa wingi duniani ni hii inayoitwa "The Gregorian Calendar" ambayo inasema leo ni tarehe 28/12/2024. Usisahau Cardinal Gregory alipewa maelekezo na Papa wa wakati huo kurekebisha kidogo "The Julian Calendar" iliyokuwa inatumika kabla.Hakuna kalenda ya kikristo
Kumbe jawabu ni simple tu. Dunia ya sasa haindeshwi na mfumo wa kiislamu, inshallah dunia ikifuata mfumo wa kiislamu kama zamani mfumo wa kalenda utabadilika dunia nzimaSo simpo. Wewe unapoulizwa umri wako au ulizaliwa lini, huwa unatumia kalenda gani? Kama huijui ni hii inayotumiwa na dunia nzima sasa ambayo inakwambia kuwa leo ni Ijumaa au Jumamosi nk. Simpo.
Ndoto nyingine bwana. Eti wafuate mfumo wa kiislam usiojitambua! Loh! Hii itawezekana vipi mwanangu? Baba elimu baba.Kumbe jawabu ni simple tu. Dunia ya sasa haindeshwi na mfumo wa kiislamu, inshallah dunia ikifuata mfumo wa kiislamu kama zamani mfumo wa kalenda utabadilika dunia nzima
Soma history, wewe si umezaliwa juzi ukaona dunia hii? Unajua kama wamerekani walikuwa watumwa? Unajua miaka 50 dunia itakuwa vipi? Unajua miaka 50 dunia ilikua watu wakiishi vipi?Ndoto nyingine bwana. Eti wafuate mfumo wa kiislam usiojitambua! Loh! Hii itawezekana vipi mwanangu? Baba elimu baba.
Toka Sasa kijijiniDuniani nchi nyingi zinaendeshwa na mifumo ya kikristo, tutaachaje kutumia kalenda zao!?.
Ni kama mtu Uende vijijini usafiri ni wa malori halafu uhoji mbona hakuna daladala!?.
Ukija mjini itakuwa kwanini mnatumia dalalada badala ya malori. Huwezi badili mifumo kwa usiku mmoja.Toka Sasa kijijini
Khawarizmi kuwa baba wa algorithms haiifanyi algorithms kuwa islamic,julian calendar ya Julius Caeser (hakuwa mkristu) iliyorekebishwa na gregory,haina ukristu wowoteKalenda inayotumika kwa wingi duniani ni hii inayoitwa "The Gregorian Calendar" ambayo inasema leo ni tarehe 28/12/2024. Usisahau Cardinal Gregory alipewa maelekezo na Papa wa wakati huo kurekebisha kidogo "The Julian Calendar" iliyokuwa inatumika kabla.
Kalenda ya Cardinal Gregory iliongeza siku nahisi 11 kwenye ile kalenda ya awali ya Cardinal July. Wote walipewa maelekezo na Mapapa wa vipindi vyao kundaa kalenda inayoendana na "Mwaka wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume"!