Pamoja na kuwa na vivutio vichache, bado tumezoa tuzo nyingi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii inatokana na desturi yetu ya kujituma, kwamba raslimali chache lakini nchi ya watu wa kujituma. Kainchi kadogo, zaidi ya nusu yake kame tupu, karibia iwe jangwa halafu vivutio vya kitalii vichache lakini tumezoa tuzo muhimu zote.

Ina maana tungekua na vivutio zaidi, uchumi wetu ungekua unaendeshwa na pato la utalii.
Hongera timu Kenya.
------------------------------------------------------------------------

Kenya has again been voted as the world’s leading safari destination by the World Travel Awards.

Kenya scooped the prestigious award during a grand ceremony that took place at JW Marriott Phu Quoc Emerald Bay Hotel in Vietnam on December 10.

It is the fourth time that Kenya has won the global accolade. Kenya bagged the award last year, in 2015and 2013.

Kenya overcame fierce competition from other African safari destinations such as South Africa, Botswana, Namibia, Tanzania, Zambia, Uganda and Zimbabwe.

Top landing beach destination

Apart from the global win, this year, Kenya also scooped the Africa’s leading beach destination award, the Africa’s leading national park award and the Africa’s leading tourist board award from the World Travel Awards.

A message from the World Travel Awards read in part: “It is with great pleasure that we announce the world winners of the 24th World Travel Awards 2017.”

Thanda Island from Tanzania scooped the world’s leading exclusive private island award while Four Seasons Safari Lodge, Serengeti, also from Tanzania, won the world’s leading safari lodge award.

Legend Golf and Safari Resort from South Africa won the world’s leading safari resort award while Villa iZulu @ Thanda Safari, also from South Africa, bagged the world’s leading luxury private villa award.

Shambala Private Reserve from South Africa scooped the world’s leading private game reserve award.

The World Travel Awards are widely regarded as the Oscars of the travel industry.

Most prestigious awards

The organisation is the travel industry’s most prestigious awards programme, rewarding leaders in the tourism, airline, hotel and hospitality sectors around the world.

The body supports, promotes and develops the global travel and tourism industry by identifying and rewarding excellence and inspiring practitioners to continually raise the standards of their products and services.

The votes come from qualified executives working within travel and tourism and the consumer travel buyer.

On Wednesday, Kenya Tourism Board (KTB) chairman Jimi Kariuki termed the global award win as a great honour to Kenya’s safari offering.

He said Kenya deserved the win since it has best safari hotspots such the world famous Maasai Mara National Reserve, Amboseli National Park, Lake Nakuru National Park as well as the Tsavo East and West National Parks.

READ: Top places to visit in Kenya

Wildebeest migration

“The annual wildebeest migration spectacle in the Mara, abundant wildlife in our parks, which include the Big Five, makes Kenya stand above the rest in the safari world,” Mr Kariuki said.

He added that KTB would capitalise on the global award to aggressively market the country in both traditional and emerging markets for Kenya to attract many wildlife enthusiasts.

Kenya Tourism Federation (KTF) chairman Mohamed Hersi said Kenya was indisputable the best safari destination in the world.

“We are delighted that our country scooped the coveted global award. We must take advantage of the win to woo more safari seekers for tourism to recover,” he said.

READ: Where wealthy Kenyans spend cash

The KTB boss said there was need for Kenya to protect its flora and fauna for it to maintain its global safari appeal.

“Illegal poaching of wildlife must be brought to an end for the country to attract more wild life lovers.

"The wildlife are a great heritage, which we must conserve for sustainable tourism development,” he added.

Kenya voted world's top safari destination, again
 
Na Mungu kama alijuwa, angewapa vivutio vingi Wakenya mgetembea juu ya vichwa vya watu.

BTW ukisema Kenya nchi ndogo lakini mnajituma na kufanya makubwa, Zanzibar ni nchi ndogo kuliko Kenya, lakini inawachapa kwa utali kila mwaka?
 
hana lolote huyo. eti Kenya kanchi kadogo. sijui Rwanda na Burundi wasemeje sasa!!!??
btw hongera. hizo sisi kwetu ni kawaida.
 
Hiyo Zanzibar huwa sielewi mnaichukuliaga vipi, Mara ni Tanzania mara ni muungano mara ni nchi kivyake, yaani mnawazungusha zungusha sana.
 
Huku ni kuringishiana sasa...

Btw, kenya sio nchi ndogo yakhee labda pale unapoamua kuilinganisha na nchi nyingine.
 
Unazungumziaje deni lenu la taifa linalofikia 60% na kuzuia single currency kwa nchi za Afrika Mashariki?
 
Hongereni Kenya. Chapeni kazi wekeni siasa za ukabila pembeni. Tanzania nasi tunapambana kukuza utalii wetu zaidi nguvu mpya imepelekwa kutangaza ukanda wa kusini pia.
 
hana lolote huyo. eti Kenya kanchi kadogo. sijui Rwanda na Burundi wasemeje sasa!!!??
btw hongera. hizo sisi kwetu ni kawaida.

Hii sio kawaida maana ulikua ushindani mkali uliohusu mataifa kama South Africa, Botswana, Namibia, Tanzania, Zambia, Uganda na Zimbabwe.
Yaani tungekua na nusu ya vivutio mlivyo navyo, hii Afrika ingetutambua.
 
Huwa mimi wakenya ninawashangaa sana, lengo la vivutio vya utalii ni kusifiwa na kupata awards au ni kupata fedha?, sasa pamoja na awards zote hizo lakini ki mapato mpo nyuma ya Uganda na mapato yenu ni 1/3 ya Tanzania na bado mnafurahia kama vichaa, hivi siku mkilingana na Tanzania katika revenue si mtaandamana mkiwa uchi hapo Nairobi?, achane sifa za kijinga, kuna mwanaume kusini kwenu anatengeneza $2.2B wala husikii akipiga kelele[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hiyo Zanzibar huwa sielewi mnaichukuliaga vipi, Mara ni Tanzania mara ni muungano mara ni nchi kivyake, yaani mnawazungusha zungusha sana.
Mfumo wa nchi yetu usikupe shida, nchi kama Uingereza ina mifumo kibao. Mara UK, mara Britain, kuna England Scotland Wales northern Ireland, na zote zina bendera zao na nyimbo zao za taifa. Chamsingi Zanzibar inapiga hela kwenye utali kuliko Kenya achilia mbali upande wa Tanzania Bara.
 
Hehehe halafu nikitolea mfano chochote cha wazungu huwa hamkawii kuniita mtumwa, sasa eti na nyie mnataka muonekane complicated kama UK.
Nakumbuka hilo suala la muungano liliwashinda kutatua hadi mkapiga chini mchakato was katiba mpya.
 
CS Najib Balala anafanya kazi yake vizuri yani baada ya miaka mitano Kenya itakuwa imebadilika positively.
 
Hii inatokana na desturi yetu ya kujituma, kwamba raslimali chache lakini nchi ya watu wa kujituma. Kainchi kadogo, zaidi ya nusu yake kame tupu, karibia iwe jangwa halafu vivutio vya kitalii vichache lakini tumezoa tuzo muhimu zote.

Ina maana tungekua na vivutio zaidi, uchumi wetu ungekua unaendeshwa na pato la utalii.
Hongera timu Kenya.
------------------------------------------------------------------------

Kenya has again been voted as the world’s leading safari destination by the World Travel Awards.

Kenya scooped the prestigious award during a grand ceremony that took place at JW Marriott Phu Quoc Emerald Bay Hotel in Vietnam on December 10.

It is the fourth time that Kenya has won the global accolade. Kenya bagged the award last year, in 2015and 2013.

Kenya overcame fierce competition from other African safari destinations such as South Africa, Botswana, Namibia, Tanzania, Zambia, Uganda and Zimbabwe.

Top landing beach destination

Apart from the global win, this year, Kenya also scooped the Africa’s leading beach destination award, the Africa’s leading national park award and the Africa’s leading tourist board award from the World Travel Awards.

A message from the World Travel Awards read in part: “It is with great pleasure that we announce the world winners of the 24th World Travel Awards 2017.”

Thanda Island from Tanzania scooped the world’s leading exclusive private island award while Four Seasons Safari Lodge, Serengeti, also from Tanzania, won the world’s leading safari lodge award.

Legend Golf and Safari Resort from South Africa won the world’s leading safari resort award while Villa iZulu @ Thanda Safari, also from South Africa, bagged the world’s leading luxury private villa award.

Shambala Private Reserve from South Africa scooped the world’s leading private game reserve award.

The World Travel Awards are widely regarded as the Oscars of the travel industry.

Most prestigious awards

The organisation is the travel industry’s most prestigious awards programme, rewarding leaders in the tourism, airline, hotel and hospitality sectors around the world.

The body supports, promotes and develops the global travel and tourism industry by identifying and rewarding excellence and inspiring practitioners to continually raise the standards of their products and services.

The votes come from qualified executives working within travel and tourism and the consumer travel buyer.

On Wednesday, Kenya Tourism Board (KTB) chairman Jimi Kariuki termed the global award win as a great honour to Kenya’s safari offering.

He said Kenya deserved the win since it has best safari hotspots such the world famous Maasai Mara National Reserve, Amboseli National Park, Lake Nakuru National Park as well as the Tsavo East and West National Parks.

READ: Top places to visit in Kenya

Wildebeest migration

“The annual wildebeest migration spectacle in the Mara, abundant wildlife in our parks, which include the Big Five, makes Kenya stand above the rest in the safari world,” Mr Kariuki said.

He added that KTB would capitalise on the global award to aggressively market the country in both traditional and emerging markets for Kenya to attract many wildlife enthusiasts.

Kenya Tourism Federation (KTF) chairman Mohamed Hersi said Kenya was indisputable the best safari destination in the world.

“We are delighted that our country scooped the coveted global award. We must take advantage of the win to woo more safari seekers for tourism to recover,” he said.

READ: Where wealthy Kenyans spend cash

The KTB boss said there was need for Kenya to protect its flora and fauna for it to maintain its global safari appeal.

“Illegal poaching of wildlife must be brought to an end for the country to attract more wild life lovers.

"The wildlife are a great heritage, which we must conserve for sustainable tourism development,” he added.

Kenya voted world's top safari destination, again

Utakuwa na mental disorder wewe siyo bure kwa maana unapenda huruma hata mahali isipostahili? Hivi kweli unaweza kuita ,,Kenya kanchi kadogo"? Unajua Kenya ni kubwa * 2 ya Uganda? Sasa Uganda, Rwanda au Burundi waseme nini? Isitoshe aliyekudanganya Kenya ina vivutio vichache vya Utalii ni nani?

Ni kitu gani ambacho Kenya haina inapokuja kwenye Utalii?

too childlish, get a life, man!
 
Hehehe halafu nikitolea mfano chochote cha wazungu huwa hamkawii kuniita mtumwa, sasa eti na nyie mnataka muonekane complicated kama UK.
Nakumbuka hilo suala la muungano liliwashinda kutatua hadi mkapiga chini mchakato was katiba mpya.
Siasa ya Tanzania tuache wenywe Waarabu wa Pemba tunaojuwana kwa vilemba, baki kwenye mada kuu ya UTALI.
 
CS Najib Balala anafanya kazi yake vizuri yani baada ya miaka mitano Kenya itakuwa imebadilika positively.
Utali msahau kwa sasa, Rwanda watawaacha hivi karibuni. Mgetumia busara kuweka pesa yenu kwenye kilimo cha chai badala ya utali.
 
hana lolote huyo. eti Kenya kanchi kadogo. sijui Rwanda na Burundi wasemeje sasa!!!??
btw hongera. hizo sisi kwetu ni kawaida.
...Muwe na desturi ya kuwapongeza majirani zenu pale wanapopata mafanikio jamani, ukiwa na roho ya korosho jirani yako akinunua gari unaweza kuishia kufa kwa BP au vidonda vya tumbo...
 
CS Najib Balala anafanya kazi yake vizuri yani baada ya miaka mitano Kenya itakuwa imebadilika positively.
Najib Balala alikuwa utalii kwa muda mrefu kabla ya kubadilishwa wizara na baadae kurudishwa lakini Kenya haijawahi kuvuka $1.3B, cha kusikitisha na kushangaza, Uganda haina beach, mlima mrefu wala famous safari, lakini inaizidi Kenya katika revenue ya utalii, hivi Kenya mna matatizo gani?
 
Utakuwa na mental disorder wewe siyo bure kwa maana unapenda huruma hata mahali isipostahili? Hivi kweli unaweza kuita ,,Kenya kanchi kadogo"? Unajua Kenya ni kubwa * 2 ya Uganda? Sasa Uganda, Rwanda au Burundi waseme nini? Isitoshe aliyekudanganya Kenya ina vivutio vichache vya Utalii ni nani?

Ni kitu gani ambacho Kenya haina inapokuja kwenye Utalii?

too childlish, get a life, man!

Kama ulienda shule, hii picha hapaa chini itakuelimisha kitu, nyie pamoja na liichi lote hilo ambalo ukubwa wake itabidi uunganishe Kenya, Uganda, Rwanda ili kuifikia, halafu nchi yote ina rotuba, na ina vivutio bora zaidi ya nchi zote Afrika lakini bado maskini wa kutupwa, mnaorodheshwa kama LDC, kwa kifupi maskini hoi.
Suluhisho ni kujituma, mtuige sisi wenye kainchi kadogo kenye eneo ndogo sana yenye rotuba lakini ndio vinara ukanda wote huu ukiunganisha Afrika Mashariki na Afrika ya Kati na bado tunachana mbuga na kutanua, kama umechukia tema la sivyo meza.

kenya-land-use-planning-and-the-need-for-gis-in-county-spatial-planning-mathenge-mwehe-12-638.jpg
 
Back
Top Bottom