Pamoja na kuwa na vivutio vichache, bado tumezoa tuzo nyingi




Ungesema sasa kama lengo lako lilikuwa ni kulinganisha Kenya na Tanzania, na siyo kuanza kuzunguka huku na kule kama mtoto mdogo anayetafuta huruma.
Hit the point na kuwa muwazi ndivyo watu matured wanavyojadili na siyo kuanza kuzunguka na kuita Kenya kanchi wakati Kenya ni moja kati ya nchi kubwa Afrika!

Hivyo kama lengo lilikuwa ni ligi yenu ya kitoto ya TZ vs Kenya ungesema hivyo lkn siyo kusema sijui Kenya kanchi kadogo mara hakuna vivutio vya Utalii, wkt vyote ni uongo, Kenya ni moja kati ya nchi kubwa Afrika, ni moja kati ya nchi zinazoongoza kwa vivutio viingi vya utalii Afrika, hata ni moja kati ya nchi ambayo ardhi yake ina rutuba nzuri sana , Rift valley inapasua kati kati ya Kenya!

Na Rift valley ni most fertile place in Afrika!


Hivyo next time nenda moja kwa moja kule unakotaka kwenda kwamba unataka ligi lkn siyo kuongea ujinga!
 

Hehehe imekugusa penyewe, utaendelea kuona haka kainchi kadogo kakiwaongoza kwa kila kitu siku kwa siku.
 
Uganda ni ndogo na haina vivutio vingi, kwanini imewazidi kimapato katika hutalii?,
 
Hehe, KTB imechukua tuzo la best tourism board for 5 consecutive years!!!!! kila mwaka tunazindua mbinu mpya za kuvutia wageni, hizi nchi nyengine kama kina Uganda, Tz wangepatwa na majanga kama vile Kenya imepitia, utalii wao ungekua ulikufa kabisa, yanii kukwepa mabomu ya alshabaab, siasa mbaya, maandamano, tena bado tuna mda wa ku convince watalii waje Kenya, muingereza akihofia kuja, tunapeleka marketing yetu india, mfaransa akisema ni muoga, tunapeleka campaign yetu kwa Mchina, muamerika akisema kwe, tunapeleka KTB uarabuni......

sahii vile kumeanza kutulia sasa watalii wapya na wale wa traditional markets wote watajazana, kuanzia Decembeer hii kwenda mbele tutaanza kuvunja rekodi za mapato na watalii, watch this space!!!


From Seychelles to Kenya, magical destinations that offer visa on arrival
 

Hizi ni jitihada za kipekee, kuwaleta watalii kipindi cha msukosuko inahitaji akili kubwa.
 
Hizi ni jitihada za kipekee, kuwaleta watalii kipindi cha msukosuko inahitaji akili kubwa.
Hongereni wakenya... Mnachanja mbuga na mnajitambua.. Natamani kuishi kenya nchi inayoongoza kwa uchumi east Africa, democracy pana, elimu kubwa, utalii lukkuki, watu mnajivunia nchi yenu I wish niwe mkenya...
 
Hongereni wakenya... Mnachanja mbuga na mnajitambua.. Natamani kuishi kenya nchi inayoongoza kwa uchumi east Africa, democracy pana, elimu kubwa, utalii lukkuki, watu mnajivunia nchi yenu I wish niwe mkenya...
Jombaa unatania au? Kama hutanii vipi kuna mrembo flani hapa toto la kidigo jirani yangu ana mihemko ya ajab. Nimejizuia sana kuingia mtegoni wife asije akaliamsha bure kwa ajili ya papuchi ya mwendokasi. Karibu Kenya.
 
Hongereni wakenya... Mnachanja mbuga na mnajitambua.. Natamani kuishi kenya nchi inayoongoza kwa uchumi east Africa, democracy pana, elimu kubwa, utalii lukkuki, watu mnajivunia nchi yenu I wish niwe mkenya...

Hehehe!! Asante, njoo maana huku unaingia tu kwa kutumia kitambulisho chako cha nchi yako, unapiga biashara zako baina ya kwenu Tanzania na Kenya.
 
Jombaa unatania au? Kama hutanii vipi kuna mrembo flani hapa toto la kidigo jirani yangu ana mihemko ya ajab. Shida yangu kuu sitaki nijieke mtegoni wife aliamshe. Karibu Kenya.
Kwahiyo unataka unipe na mchumba kabisa jamaa yangu.... Mi nafurahi sana mlivyo jiwekeza kwenye utafiti wa kilimo na mifugo... Mnaweza kutuuzia sisi mburula wa tz ata vifaranga vya kuku 6,450 mko vizuri wa kenya..

Vile vile nnavyo taka kufuga kuku nashauriwa et nifuge kuku wa kenya... Wakenya mnajina sana hapa Tanzania...
 
Hehehe!! Asante, njoo maana huku unaingia tu kwa kutumia kitambulisho chako cha nchi yako, unapiga biashara zako baina ya kwenu Tanzania na Kenya.
Vp hamnaga ukatili jamaa yangu.... Maana nyie akili nyingi hamchelewi kuniuwa... Mna roho ngumu sanaa
 
kinundu Hukusikia alivosema Uhunye? Ukipata mwanamke wa kikenya mmpendane, mkishafunga ndoa basi Kenya una ruksa kuishi, kufanya biashara, kumiliki ardhi milele na milele amina. Afu wenzako Kina Munishi na Gado wapo huku pia,so no worries man.
 
Vp hamnaga ukatili jamaa yangu.... Maana nyie akili nyingi hamchelewi kuniuwa... Mna roho ngumu sanaa

Ukatili uko maeneo yote na nchi zote, ukija usizingue, ubaki njia kuu hayatakutokea, lakini ukileta vya kuleta lazima uchinjiwe baharini. Kwa kifupi usimtongoze mke wa mtu, usiibe fanya yako kwa bidii bila uzembe na utulie. Ndivyo ilivyo kila unapokwenda kwenye nchi za watu na hata pia ukiwa hapo Bongo nina uhakika huwa unazingatia kubaki njia kuu, maana na huko pia niliona watu wanaokotwa baharini wamefungwa kwa kamba.

Mimi nikijaga Bongo huwa napiga misele na kushugulika na kazi zangu, kwanza hata siasa huwa nakaa mbali nazo, hutoniskia nikitaja CCM au Chadema maana naujua muziki wake, jamaa huwa wana hisia kali kali.

Kwa kifupi ukijua jinsi ya kubaki njia kuu, unaweza kuishi hata Somalia kwa mabomu na usiguswe na mtu yeyote. Wapo Watanzania wanapiga biashara huku balaa sio mchezo, kwanza Wachagga wa Kilimanjaro, ikifika mwezi huu wa Krisimasi wanaanza kusafiri kwa maelfu kwenda kwao Moshi.
 
Hii sio kawaida maana ulikua ushindani mkali uliohusu mataifa kama South Africa, Botswana, Namibia, Tanzania, Zambia, Uganda na Zimbabwe.
Yaani tungekua na nusu ya vivutio mlivyo navyo, hii Afrika ingetutambua.

hizo ni wishful thinking. mbona north Africa ukiondoa Misri hawana vivutio lkn they are among the best tourists destinations.
 
Usiseme sisi mburula, sema wewe mburula. Pumbavu
 
wakenya wanapiga kazi jamani mpende msipende.huku endeleeni na siasa.
 
December 22, 2017
Zanzibar, Tanzania

MELI KUBWA YA KITALII MV. BOUDICCA YATINGA ZANZIBAR

Meli kubwa ya utalii iendayo kwa jina la MV Boudicca yenye abiria 521 watakao teremka katika mji maarufu Afrika Mashariki kwa utalii wa meli aina za cruise liners imetia nanga katika bandari ya Zanzibar.

Kulikuwa na shamrashamra kubwa kama kawaida kuwakaribisha wageni hao bandarini katika kisiwa hiki maarufu kwa utalii wa kila namna kuanzia pwani yenye mchanga mweupe, mji mkongwe a.k.a Stone Town, Makumbusho/ Museum na kuonja vyakula vitamu vilivyokolewa kila aina ya viungo .

Karibuni wana JamiiForums popote ulimwenguni mpate kuona hali halisi ilivyokuwa kwa kutazama video clip fupi hapa chini:
Source: KTV TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…