bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Kaizer!! Is it?? Who 'Construct' that something?? You or the society/world?
So what you are saying is that there is truth in that phrase ya Being Happly single??
Unajua MJ1, nimependa kwanza hiyo topic yako,
kwani inazungumzia hali halisi ya matukio yanayotokea katika jamii yetu!congrats..........
Ni kweli kabisa hali ya upweke yaweza kumkuta binadamu yeyote yule kwenye mahusiano ya kimapenzi,
pindi anapomkosa mwenzake au anapotengana na mwenzake,
Mara nyingi ninaamini kuwa thamaniya mpenzi wako sometimes,
huwezi ijua mpaka pale utakapomkosa, ndipo utakapoanza kuona ''gaps''na umuhimu wake katika maisha yako!,
Kipindi mpo pamoja mara nyingi unaweza usizione hizi gaps kwa urahisi!!!!
Magomvi ni sehemu ya maisha ya kwenye mahusiano,yakizidi sana ni kweli yanaleta madhara tena wakati mwingine makubwa tu!
Lakini kama kawaida watu hukaa pamoja na kumaliza hizo tofauti!!!
Nachelea kusema kuwa mtoto anaweza kuchukua nafasi ya baba/mama,
katika kurudisha furaha au kuondoa upweke ndani ya nyumba!
kwani siku zote mtoto atabaki kuwa mtoto na mke/mume atabaki kuwa mume,
haya makundi mawili yana treatments tofauti katika kuleta furaha na kuondoa upweke ndani ya nyumba!
Ni kweli imekuwa kawaida kusema kuwa, I CAN'T LOOSE ANYTHING FROM MISSING YOU!
lakini kiukweli, hilo ni kama dua la kuku tu, halimpati mwewe daima!
Ninaamini kabisa lazima kuna hali fulani ya upweke itakukuta tu ,
unapomkosa/mpoteza mpenzi wako ambae mmeishi wote muda mrefu na kupata watoto,
Watoto hawataweza kuziba pengo la baba/mama completely!!!!!never.............
Nawasilisha