Pamoja na kuwa Uko Single....

Pamoja na kuwa Uko Single....

Kaizer!! Is it?? Who 'Construct' that something?? You or the society/world?

So what you are saying is that there is truth in that phrase ya Being Happly single??


Unajua MJ1, nimependa kwanza hiyo topic yako,
kwani inazungumzia hali halisi ya matukio yanayotokea katika jamii yetu!congrats..........
Ni kweli kabisa hali ya upweke yaweza kumkuta binadamu yeyote yule kwenye mahusiano ya kimapenzi,
pindi anapomkosa mwenzake au anapotengana na mwenzake,

Mara nyingi ninaamini kuwa thamaniya mpenzi wako sometimes,
huwezi ijua mpaka pale utakapomkosa, ndipo utakapoanza kuona ''gaps''na umuhimu wake katika maisha yako!,
Kipindi mpo pamoja mara nyingi unaweza usizione hizi gaps kwa urahisi!!!!
Magomvi ni sehemu ya maisha ya kwenye mahusiano,yakizidi sana ni kweli yanaleta madhara tena wakati mwingine makubwa tu!
Lakini kama kawaida watu hukaa pamoja na kumaliza hizo tofauti!!!

Nachelea kusema kuwa mtoto anaweza kuchukua nafasi ya baba/mama,
katika kurudisha furaha au kuondoa upweke ndani ya nyumba!
kwani siku zote mtoto atabaki kuwa mtoto na mke/mume atabaki kuwa mume,
haya makundi mawili yana treatments tofauti katika kuleta furaha na kuondoa upweke ndani ya nyumba!

Ni kweli imekuwa kawaida kusema kuwa, I CAN'T LOOSE ANYTHING FROM MISSING YOU!
lakini kiukweli, hilo ni kama dua la kuku tu, halimpati mwewe daima!
Ninaamini kabisa lazima kuna hali fulani ya upweke itakukuta tu ,
unapomkosa/mpoteza mpenzi wako ambae mmeishi wote muda mrefu na kupata watoto,
Watoto hawataweza kuziba pengo la baba/mama completely!!!!!never.............

Nawasilisha
 
Why do i have the feeling 'utachafua hali ya hewa hapa' ? na kukimbiza watu kwenye serious discussion,prove me wrong today.

mmmh nini?
wewe huwa hutumii hiyo mito?
mwenzio lazima niegeshe kichwa changu hapo lol


it depends with what u think....
to some it sexy and good to apreciate their women's body...
when i say its a pillow,how is it inachafua hewa?
a pillow for mto wa kuwekea kichwa....get it?

Mwanajamii1 has brought an issue that touch alot of us and begs for a discussion and all you think about is a lady's behind ?

hahahah mkulu Uporoto01 umeenda mbali sana apo...dah..

Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.

you are suppose to reply the topic
and not watching what i write....

Okay okay okay........dears wote mko sahihi haya basi tudevelop!!
 
Kilicho wazi ni kwamba hata katikati ya magomvi na minuno, kuna wakati unahitaji 'a shoulder to cry on' ......ila muhimu ni kulinganisha kiwango cha ugomvi (non-compatibility?) na ulichokua unapata toka kwa mweza wako.....
 
Samahani MJ1.....my sis!!
Hivi eti na mi naruhusiwa ku-comment hapa?!!!

I'm jus thinkin....
 
Samahani MJ1.....my sis!!
Hivi eti na mi naruhusiwa ku-comment hapa?!!!

I'm jus thinkin....

Ooh Baby Gal........yes you are allowed kabisa though we know unaweza ukawa biase but tutakuelewa!!
 
MJ1.
kuwepo single na ukawa happy ni kujidanganya ambako kuna time limit.
 
ha ha ha too advanced?
sex with no strings attached is still a new thing for tz women..
they will say ,wataka nichezea as if they don't enjoy it...lol

exactly where I also get 'confused'
 
haya bana.....!

ngoja niisome upya
 
the biggest problem that u rarely see people discuss is....
each and everyone of us has been wired different...
one person can be happy being single,the other can suffer a lot for being single......

think of other factors like hormones,age,culture and a lot others factors...
I guess this is what Kaizer meant when he said something being 'Construted' eh? Yaani kama unaishi kwenye jamii inayovalue sana the 'living together' than the 'living single' then itakuaffect if you live differently and the same if you are in jamii ambayo whether you are single of tangled no one cares, then you wont be affected or feel the loneliness??
 
Samahani MJ1.....my sis!!
Hivi eti na mi naruhusiwa ku-comment hapa?!!!

I'm jus thinkin....


On her behalf, no.....huruhusiwi....kuna conflict of interest (aluu have missed you luv )
 
Hommie we ako konfyuzd na nini?

Ya kulala na mto peke ako?


Hommie, on a second thought asante kwa ushauri wa jana bana hahahaha.....Plan B......:clap2::clap2: (ila tuiweke kwenye katiba,...angalia MJ1 asiione)
 
Tatizo naona kama wengi hatuangalii chanzo cha mtu kufikia hali hiyo ya kuwa single maana kero na bugudha alizopitia ndiyo inamfanya mtu achague aina fulani ya maisha na kama umeshajaribu kuwa karibu au kuwashauri watu waliochagua aina hii ya maisha utagundua wengi walipata shida za mahusiano zaidi ya mara moja na hata walipojaribu kutoa nafasi kwa wengine zaidi yaliendelea kuwa maumivu zaidi na ndipo huchagua aina hii ya maisha kwa kujiona labda amekosea aina ya machaguzi au hana bahati, twende mbele na turudi nyuma kama mnaweza kupendana kwa dhati kuwa wawili ni nzuri wandugu kama unabisha angalia mlipoanzia kabla sukari haijaingia shubiri utakubali nasema nini hapa. Tatizo kubwa na watu wengi kuwa makunguru wasiofugika na huwa hawathamini mapenzi ya kweli na pale unapompenda kwa dhati anakuona wewe unajipendekeza na hauna pa kwenda ukivuta mtambo mwingine anaanza kuhaha mara hoo unajua tumetoka mbali mimi nakaa na wewe kwa sababu nakupenda mara unajua huwezi kukaa na mtu mwingine kama mimi ambae ninakuvumilia sana.

HEBU WAUNGWANA KAENI NA KUTUNZA DHAMANA ZA MIOYO YA WENGINE NA KULEA WATOTO PANDE MBILI NA SIYO KUWATELEKEZA.

By the way MJ1 am watching! U cross ma mind 24/7 mwaaaa.
 
Ni kweli Mkuu lakini siku hizi most partners are not compatible kwahiyo point yangu ni kwamba are you better off alone or with an incompatible partner?

Pili most people who hate and are afraid of being single.., they become desperate.., matokeo yake they get a wrong guy who takes advantage of them and they end up worse than they were in the beginning

Tatu if its about the having good time you can have a partner with no strings attached.

Now when the children are involved hutaki kuleta mtu ndani ambaye anaweza akadisturb the balance of your kids..., I think in this case you should even sacrifice your happiness for the kids, unless you get someone who is ready to be a father / mother to your kids as well


Well VoR hapa umeibua a very string urgument kaka yangu.................the issue of having a partner with no strings attached

Kwa jamii yetu..........I think we are still too cultured for that lol................constructed from the time in memorial kuwa its not a good thing so for people to understand it.....will take some times

But on second thought........Does it mean kuwa both the 'no-strings attached' partners are supposed to be single au tunaruhusu hata MBAs ??
 
kweli una miss vitu vingi sana,
kufumaniwa na kufumania,
kuwa na nyumba ndogo ambayo unajitahidi kuonyesha huko utundu wote ambao nyumbani dhubutu!
kufuta sms unapokaribia nyumbani!hiyo nikama sala husahau
kugombana na kuombana msamaha nk na nk
 
Aisee mwanajamiiwan,

Nakumbuka bibi yako alichukua likizo, akasafiri. Alinambia atakuwa kwa mama yangu for two weeks then atakam baki. Nikamwambia aongeze wiki moja (Msisitizo:Mtu hamjaonana mwaka mzima afu ukae naye wiki mbili tu?) Bibi ako akaona logic akakubali. babu yako nkafurahi zangu kwa kuwa nimepata uhuru wa kujifaragua na kina Eliza na bidhaa zao.
Hakuna wa kuniuliza uko wapi.......Mbona umechelewa kurudi........Uko na nani nk nk nk

Wiki moja tu nilimpigia simu arudi ASAP!
Akakuta neti alivyoiacha ndivyo alivyoikuta,
Shuka lile lile,
Viatu vimejaa kila kona,
Soksi nyingine ziko kitandani,
Chup.i ziko chini ya mto.

Aisee kwa mwanaume kuishi bila mwenza Ni NGUMU kama Mamba kuishi nchi kavu.

Nimezungumzia wanaume...kwa wanawake mi sijui bana! Nampigia simu bibi aniambie kwake inakuwaje, then I will be right back!

Haya nigongeeni Senksi kwa hii yuzifuli posti wakati mi narudi kitandani!
 
Back
Top Bottom