Pamoja na kuwa Uko Single....

Samahani MJ1.....my sis!!
Hivi eti na mi naruhusiwa ku-comment hapa?!!!

I'm jus thinkin....
Why not? Btw mzima wewe?
Ntarudi tena kwa ajili ya topic ya Mj1 ngoja nirethink!
 
kweli una miss vitu vingi sana,
kufumaniwa na kufumania,
kuwa na nyumba ndogo ambayo unajitahidi kuonyesha huko utundu wote ambao nyumbani dhubutu!
kufuta sms unapokaribia nyumbani!hiyo nikama sala husahau
kugombana na kuombana msamaha nk na nk

Wataalamu utawajua tu na mimi ninauhakika kuwa ndoa yako iko slama kwa jinsi ulivyojipanga
 
Aisee mwanajamiiwan,

Nakumbuka bibi yako alichukua likizo, akasafiri. Alinambia atakuwa kwa mama yangu for two weeks then atakam baki. Nikamwambia aongeze wiki moja (Msisitizo:Mtu hamjaonana mwaka mzima afu ukae naye wiki mbili tu?) Bibi ako akaona logic akakubali. babu yako nkafurahi zangu kwa kuwa nimepata uhuru wa kujifaragua na kina Eliza na bidhaa zao.
Hakuna wa kuniuliza uko wapi.......Mbona umechelewa kurudi........Uko na nani nk nk nk

Wiki moja tu nilimpigia simu arudi ASAP!
Akakuta neti alivyoiacha ndivyo alivyoikuta,
Shuka lile lile,
Viatu vimejaa kila kona,
Soksi nyingine ziko kitandani,
Chup.i ziko chini ya mto.

Aisee kwa mwanaume kuishi bila mwenza Ni NGUMU kama Mamba kuishi nchi kavu.

Nimezungumzia wanaume...kwa wanawake mi sijui bana! Nampigia simu bibi aniambie kwake inakuwaje, then I will be right back!

Haya nigongeeni Senksi kwa hii yuzifuli posti wakati mi narudi kitandani!
 

.....................Oh my ...............so should I nullify my theory ya kuwa kila kitu kina ukomo wa uvumilivu eh??
 
Ooh Baby Gal........yes you are allowed kabisa though we know unaweza ukawa biase but tutakuelewa!!
Thanx my sis! Binafsi I think wat matters is wat makes u happy, alone or not alone, if u think that u are missing somethin...and u have an apportunity to get it back then go for it! Otherwise, I hv seen single mothers - live n happy, wengine by pretending that they are! But at the end of the day they become devastated, sasa why all such trouble...?

On her behalf, no.....huruhusiwi....kuna conflict of interest (aluu have missed you luv )
Pope my dear....umechelewa!! Dada alisha grant access.... Hapo kwenye mabano na mi pia!
 

Kwa hiyo unahitaji mwanamke kwa ajili ya kukufanyia usafi tu?
 
Sijakuelewa mkuu,


Kiongozi, MJ1 kafafanua hapa so kanipunguzia kazi kidogo...pole...jana I was like.....

 
usiwe konfyuzed kamanda. hawa viumbe wanafeki mpaka ile kitu, hapo wamefeki sentensi tu


Yaani kuna mmoja jana nimemmsikia akidai kuwa alikuwa anafake smile....daaaaaamn
 
mwanajamiione,
nakushauri kwa maneno matatu tu....FOLLOW YOUR HEART!

-mara nyingi watu hushauri wapenzi waachane (huwezi jua in a long term wana kusudio gani)

-wakati mwingine unaweza amini kwamba wewe ndiye mwenye matatizo makubwa kabisa dunia nzima (sio kweli,jaribu kushea uzoefu na watu wengine then utajua).

-wakati mwingine unaweza amini kwamba YOU ARE GOING THROUGH THE HELL....!(kibinadamu inaweza kuwa lakini may be that ain't a hell)

NAMALIZA HIVI....!
USIKILIZE MOYO WAKO,UFUATE MOYO WAKO...!life is too short to have it complicated

formula ya kuwa single HAIPO KABISA!...mimi sasa hivi kwa mfano ukinambia niwe singo ni bora ukanishoot tu
 

Hakika nimekubali ulipewa heshma ya UBABU MKUU Kihalali........sina cha kuongezea zaidi ya haya.
Thanx Thanx Thanx Thanx Thanx
 

eeeh! Hii ni second thought tu ama imekuwa third sasa....:coffee::coffee:
 
Yaani kuna mmoja jana nimemmsikia akidai kuwa alikuwa anafake smile....daaaaaamn
nazani hata kanumba ana muvi moja inaitwa "feki smile" , anaibiwa na broken english zake halaf analizwa halaf anatamani kuwa single (nazani bado nipo kwenye topic)
 

Babu TEAMO..........aksante kwa post yako umesomeka best but napenda kukuhakikishia kuwa THIS THREAD HAS NOTHING TO DO WITH MJUKUU MTIIFU.

Yeye ameiweka baada ya kusoma article moja kwenye jarida la Bang! ambalo ni la zamani kidogo mwanadada mmoja alikuwa anaelezea mafanikio yake aliyoyapata katika maisha yake na mwisho akamalizia kwa kusema 'I am living happily single than the time I was with that jerk' ndo nkajiuliza hivi ni kweli??
 
Kaizer ntakubatiza .....Mzee wa kuchakachua threads...........mwone vile!! Fake Smiles na living single happly//lonely vinahusianaje??
 
Nimeongea na bibi na amenipa uzoefu wake;

Niwaambieni hapa saa hizi au baadaye kidogo?
 
i find this too advanced for our local women (tanzania)

hashycool............it is yes but it is that because of the way the whole Tanzania society (including you men) perceive the idea............so dont throw the blames kwetu tu darling.... remember, it takes two to tango
 

ahahaha!hata mimi sijamuadress mjukuu mtiifu...
nimemuadress yule aliyezungumziwa kwenye gazeti la bang
 
Kamanda............aksante sana what you just put down here is what I believe to be the nature of human being ambaye alishawahi kuionja pepo ya mapenzi..............so what I get here ni kuwa that thing ya Living single happly ni kujiliwaza tu.............na kuwa ni kweli sometimes kale kaloneliness kanakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…