Pamoja na kuwa Uko Single....

Pamoja na kuwa Uko Single....

Hivi unaweza kuishi maisha yote mawili kwa pamoja, yaani toi some extent unakuwa na single mind and life, and to some unakuwa na engaged life.....hii ni moja

Pili, hivi wanyama wengine wao wanaishije mfano mbuzi huwa wanakuwa single au ikoje....we learn somthing from other animals life
 
LD ni kweli usemacho na ninakubali kabisa kuwa ukichagua na kukubali kuishi single utaweza, swali langu ni je ni kweli kuwa hutokaa ujisikie mpweke na kuwish usingechagua maisha ya aina hiyo?? au just to wish having someone at particular time?? Am not saying kuwa umekamatwa na hamu ya kimwili la hasha (hizo zipo njia mbadala nyingi tu za kuipotezea) other forces.......labda unatamani ungekuwa na mtu wa kukubembeleza, kushare naye your ideas, furaha n.k?........najua wapo watakaojibu kuwa una ndugu na marafiki wa kushare but are they enough?? wont you wish for more??

My dear hizo ndio karaha zenyewe na changamoto zenyewe unazotakiwa kukabidhiana nazo, natamani hivi but nimechagua kuwa peke yangu basi nakomaa hivo hivo, as the other side kuna wakati mtu anaona kwa nini niliolewa lakini kwa sababu tayari yupo huko anakomaa hivo hivo.

Kila kitu kina ubaya na uzuri wake, wakati unatamani kuacha kazi mwingine halali usiku anatafuta kazi.

Wakati unatamani kubembelezwa kuna mwingine anamuona huyo aliye nae kama mnyama yani, anatamani asikie amekufa.
 
sitii neno in dis sred ila nasikia wengi walioolewa wanatamani yale maisha ya kuwa single. Binafsi nataman sana siku ntakayoanza kuitwa mama flan.
 
None of the above

Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.

Thanks God ,, I am NOT.....
 
Tuache utani kuishi kwa upweke jamani kazi sana! Wengi huwa wanajifariji tu ila ukweli wanaujua!
 
sitii neno in dis sred ila nasikia wengi walioolewa wanatamani yale maisha ya kuwa single. Binafsi nataman sana siku ntakayoanza kuitwa mama flan.
Unatamani??? Masai hataki kuchakachua peku peku?
 
Hivi unaweza kuishi maisha yote mawili kwa pamoja, yaani toi some extent unakuwa na single mind and life, and to some unakuwa na engaged life.....hii ni moja

Pili, hivi wanyama wengine wao wanaishije mfano mbuzi huwa wanakuwa single au ikoje....we learn somthing from other animals life
Yani unaweza kujifunza nini kutoka kwenye KITOWEO?
Yani unaweza kujifunza kitu kwenye makange ya digidigi!!
 
Aisee Teamo mbona unamchakachua mjukuu wangu mtiifu?
Anataka niwe Mtukutu apate sababu ya kunichapa..............nami wala sitengeuki

Babu Teamo nakupenda, nakuheshimu na zaidi ya yote NAKUTII..............Nitakuwa mjukuu mtiifu kwako daima lol.

(Nina mtoto wa kiume ujue nasubiri utangaze tenda)
 
Yani unaweza kujifunza nini kutoka kwenye KITOWEO?
Yani unaweza kujifunza kitu kwenye makange ya digidigi!!

Yaaaa, yani tutazame kama digidigi wanawezaje kuwa single and happy.....tunaweza kujifunza kitu hapo
 
Unatamani??? Masai hataki kuchakachua peku peku?
hi Bigirita! I miss u!!! nataman ila lazma tuanalyse the right time for that. Think of unarudi home unakumbatiana na kitoto chako, kinakusumbua kidogo unakifinya. Jumapili unakipeleka sunday school i think this is the way life should be.

Mwanajamiione nahitaji nikutongoze.......
 
Yani unaweza kujifunza nini kutoka kwenye KITOWEO?
Yani unaweza kujifunza kitu kwenye makange ya digidigi
!!
you speak my word dear, sisi ni homo sapiens advanced brain au yeye kuna wakati anafanya reference ya matendo yake kwa hao KITOWEO+digidigi?
 
Umepata division ngapi kwenye matokeo ya juzi ya form 4?

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa,
GY kwa nini lakini??
Lazima atakuwa amepata point 35 na shule zetu hizi.
Lakini bado haina shida, MJ1 kazi kwako.
 
you speak my word dear, sisi ni homo sapiens advanced brain au yeye kuna wakati anafanya reference ya matendo yake kwa hao KITOWEO+digidigi?

Sasa kuna faida gani kuwa advanced halafu uka-lose happiness....aisee nikifanya refference ya baadhi ya matendo hasa yanayohusiana na mapenzi, aisee wao wako better off....aisee wao wana furaha aisee...aisee digidigi wanapendana aisee...aisee digidigi hawaumizwi na mambo ya infii aisee....aisee digidigi hawakorofishani kwa mmoja kuchelewa kurudi nyumbani aisee....aisee digidigi wanaruhusiwa kuwa na wapenzi hata kumi aisee....aisee digidigi are happy either single or not....aisee tujifunze toka kwa digidigi aisee...aisee digidigi hawana gays and lesbians aisee....aisee i I love zem digidigi aisee
 
Back
Top Bottom