Pamoja na kuwa Uko Single....

Pamoja na kuwa Uko Single....

images.jpeg
 
mkuu naona umeleta na ushahidi. mdada wa watu amepotea kwenye ulimwengu wa mawazo. kinachofatia hapo nazani ni ile self service. upweke haukubaliki kabisa jamani tuacheni mzaha.
Khe Khe Kheeeee hatofautiani na malaria
 
Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
I am so agreeing with you.........Ndovu za kopo zinaongeza Potassium and Sodium sana kwenye ubongo.
 
I am so agreeing with you.........Ndovu za kopo zinaongeza Potassium and Sodium sana kwenye ubongo.

Kwahiyo tuwapige talaka wake zetu ili woooooooote tuishi single but happy?
 
khaa! hapo red kama wangu hakuna nitaiba japo wa jirani! ubavu lazima uwepo bana! singularity haikubaliki

Ni kweli haikubaliki na ni ngumu kumeza, ila huwezi kulazimisha lazima usubiri wakati ufike na hiki kitu kinawashinda sana wakinamama ndio maana unaona wanaenda kwa waganga kutafuta dawa, kujilazimisha mimba nk. mradi tu aonekane kaolewa lakini humo kwenye hiyo ndoa anaishi kama yuko jehanamu. Kila ambae anafurahia maisha ya ndoa ni yule ambae pamoja na mapungufu ya kila binadamu anapata mauzi ambayo yanavumilika, na ni kweli huo unakua ni ubavu wake kutoka kwa mungu. Kila ambae anaachana na mkewe mumewe ujue ulikua sio ubavu wako. Sasa kwa nini nilazimishe ndoa halafu nije niachike? si bora ukae tu usubiri ubavu wako wa ukweli bana? Uvumilivu watu hatuna uvumilivu na ikumbukwe uvumilivu sio kwa wanandoa tu na masingle inabidi muwe wavumilivu changamoto unazokabiliana nazo na alie katika ndoa ya kujilamisha anazo nyingi zaidi yako ila watu huwa hawasemi wanapretend kwamba kila kitu kiko sawa wakati sio. (if walls could talk)
 
dah! yaani kama post yako hii ukichanganya na ile iliopita basi sredi klosed. umemaliza kila kitu dada na hakika nimefall in love na hizi post zako.
 
dah! yaani kama post yako hii ukichanganya na ile iliopita basi sredi klosed. umemaliza kila kitu dada na hakika nimefall in love na hizi post zako.
Which means umefall in love na yeye lol!!!!!!!!
 
Maty thank you for your useful post........so its better to be single than to be in a miserable relationship yes nakubaliana nawe kwa asilimia zote.....but swali langu are the single people completely happy?? Yaani ndo umetoka kwenye hilo lihusiano libove.......ukaona uamuzi wa busara ni kuwa single are you going to be completely happy and satisfied au kuna moments utakuwa unahisi kupungukiwa na kitu au unatamani kuwa na mtu...............yaani kama gari lenye kumis
 
Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.

Hapa namtetea The Boss, mara ngapi mnaingia kwenye topic za watu mnaanzisha mawasiliano yenu na wengine mpaka pages zinafikia hata 30?
Kwa kujibu thread, mimi naona sisi waafrica kama si wabongo we believe in family, watu wengi wanaweka happiness zao pembeni ili mradi tu waone wanaishi kama wazazi wao walivyoishi pamoja au bibi na babu zao. Watoto wengi huwa wanapenda wawaone wazazi wao pamoja. ukiona mtoto anasema yupo happy na baba ake kuliko mama ake alivyokuwepo ujue lazima tu baba au mzazi aliyebaki nae kipindi hicho anamjaza maneno kichwani mwake. au yuko bize kumwambia mabaya ya mzazi mwenzie, hata kama kuna mazuri hayatatajwa hata kidogo.
Tafuta movie inaitwa Not Easily Broken, utaona jinsi yule mama alivyokuwa
 
Kwahiyo tuwapige talaka wake zetu ili woooooooote tuishi single but happy?

Mimi sidhani kama kuwa happy kunasababishwa na ndoa au kua single kwa sababu mambo ambayo yanaweza kukusababisha usiwe na furaha yapo hata ukiwa na umeoa/olewa au hujaoa/olewa. Kama hujaolewa ukichukulia bila ndoa sitakua na furaha basi hutokua na furaha. Na kama umeolewa ukichagua mimi mume wangu akirudi amelewa sitokua na furaha na kweli hutokua na furaha ila ukiamua ulevi wake hauwezi ninyima furaha basi utaishi kwa amani zote, tena siku nyingine utakua unamuuliza baby leo hunywi. Kwa nini watu wanaonywa kuwa usishike simu ya mwenzio si kuogopa kujipa maumivu? unapenda kushika lakini ukifikiria maumivu yake mwenyewe unatuliza kitenesi. Na upweke hivyo hivyo ukiuwazia sana ni sawa sawa nakupekua simu ya mwenza wako. Ishu ni kuamua tu kuwa na raha au usiwe nazo. Ti aliniambia siku moja pale feawei kwamba dada yangu usicomplicate maisha yafanye tu yawe marahisi nawe utaishi kwa amani
 
mkuu naona umeleta na ushahidi. mdada wa watu amepotea kwenye ulimwengu wa mawazo. kinachofatia hapo nazani ni ile self service. upweke haukubaliki kabisa jamani tuacheni mzaha.

Kwani ukimwi unakubalika? lakinii ukiupata c unaishi kwa matumaini mwisho wa siku unakua na furaha kuliko hata ambae hana. Na upweke hakuna mtu anaupenda lakini ukiukwaa huna jinsi zaidi ya kukabiliana nao.
 
Back
Top Bottom