Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Majuzi kati tulikuwa hosptali kumwona magonjwa flan
Akaibuka ndugu mmoja tuongee na kiboko ya wachawi atamponya nkajaribu kumwonyesha clips alizorekodi na kutuita wajinga
Wale ndugu wakaendelea kumwmini jamaa akawambia watumie Million 2
Wakajichanganya Jana wametumwa million Moja kwenye hio no
Mwanzo nilijua utani jamani huyu mshenzi anatisha yaani pamoja na yote bado ana madalali wake WA kutosha aisee
Wanachofanya akitumiwa jamaa anamrushia asilimia kadhaa yule dalali aliemsaidia pesa zikatumwa
Kazi ipo