Pamoja na kuwaita watanzania wajinga, kiboko ya Wachawi bado anawapiga hela

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Majuzi kati tulikuwa hosptali kumwona magonjwa flan

Akaibuka ndugu mmoja tuongee na kiboko ya wachawi atamponya nkajaribu kumwonyesha clips alizorekodi na kutuita wajinga

Wale ndugu wakaendelea kumwmini jamaa akawambia watumie Million 2

Wakajichanganya Jana wametumwa million Moja kwenye hio no

Mwanzo nilijua utani jamani huyu mshenzi anatisha yaani pamoja na yote bado ana madalali wake WA kutosha aisee

Wanachofanya akitumiwa jamaa anamrushia asilimia kadhaa yule dalali aliemsaidia pesa zikatumwa

Kazi ipo
 
Kwahiyo na wewe umeweka namba yake kama dalali wake au?
 
Watanzania wengi ni kama hazifanyi kazi na ukiwaambia ukweli wanakuona wewe unajifanya kujua kila kitu!, sasahivi mi nilichoamua ni kuishi kila mtu shauli yake!.
 
Uongo wa kitoto. Ukitaka kutuma uongo classic uwe na akili. Kiboko ya wachawi na wewe wote akili zinafanana. Hamna jipya kwa sasa na hakuna mpumbavu wa kiasi hicho.

CHAI ZAKO NI ZA KIFACEBOOK FACEBOOK
 
Hii kitu inayoitwa imani ina mianya mingi sana ya kuwapiga vilazašŸ¤”
 
Typical WADANGANYIKA!
Sisi ni ma zombies!
Wacha chukuwachakomapema WAENDELEE na maovu yao!
 
Uongo wa kitoto. Ukitaka kutuma uongo classic uwe na akili. Kiboko ya wachawi na wewe wote akili zinafanana. Hamna jipya kwa sasa na hakuna mpumbavu wa kiasi hicho.

CHAI ZAKO NI ZA KIFACEBOOK FACEBOOK
Mkuu, mimi sijui kama alichoandika jamaa kina ukweli kiasi gani.
Ila Kiboko ya wachawi bado ana wafuasi wengi sana Tanzania.
Kama Kiboko ya wachawi angekula vizuri na serikali, basi angekuwa maarufu kuliko manabii wote Tanzania.
 
Mkuu huyoo jamaa n dalali wake na wako wengi sana najua kaumia kwenye hilii ila binafsi nimeshtuka sana kuona Badoo kuna maxuzu WA aina hioooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…