magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Kama umepagawa vile. Eti kagoma vipi...Kagoma vp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umepagawa vile. Eti kagoma vipi...Kagoma vp
Kugoma kutoa Saini ni tactic tu. Hatimae atasaini. Waandamanaji madai yao sio agome Bali Muswada uanze upyaNilikuambia kwa Wakenya haijaisha hadi iishe. Haya Rais kagoma kutia saini.
SHETANI NA WATU WAKE MMEKALIA MSUMARI.
Sasa anawatumikia watu gani? Wakati alichanguliwa na wananchi ili awe mtumishi wao. Nyie ndo wale wanachaguliwa kuwatumikia wananchi alafu mnabadilika kuwatumikia Familia yako.Ukiwa kiongozi wa nchi na ukisikiliza kelele za wananchi na kufanya maamuzi kwa shinikizo la wananchi wewe utakuwa sio kiongozi.
Kiongozi anatakiwa kuwa na maono na msimamo wa kusimamia maono yake hata kama hayawapendezi wananchi.
Kuwa kiongozi maana yake wewe ndiwe unayeongoza njia. Ikiwa walioko nyuma yako watakupigia kelele ubadili njia kila unapochagua njia ya kupita na wewe unawasikiliza basi hufai kuwa kiongozi.Sasa anawatumikia watu gani? Wakati alichanguliwa na wananchi ili awe mtumishi wao. Nyie ndo wale wanachaguliwa kuwatumikia wananchi alafu mnabadilika kuwatumikia Familia yako.
Vipi ameshaweka saini?Imeshaisha hiyo. Rais akiweka saini tu. Mchezo umeisha.
Duh kumbe imepita?Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.
Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Sasa wewe hapo umefurahishwa na nini?...watu wanapigania haki yao kutokana na hali ngumu ya maisha wewe unawaona mabwege?..... Acha dharau😀😀Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.
Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Mungu huwa ana mpa kiongozi maono yanayo wapendeza wananchi anaowaongoza .Ukiwa kiongozi wa nchi na ukisikiliza kelele za wananchi na kufanya maamuzi kwa shinikizo la wananchi wewe utakuwa sio kiongozi.
Kiongozi anatakiwa kuwa na maono na msimamo wa kusimamia maono yake hata kama hayawapendezi wananchi.
Wananchi walimpa mamlaka Ruto, Sasa wameenda kuchukua wampe Mkenya mwingineMungu huwa ana mpa kiongozi maono yanayo wapendeza wananchi anaowaongoza .
Kama wananchi hawapendezwi na maono ya kiongozi wao , inatakiwa huyo kiongozi ajitafakari , ajirekebishe na akishindwa kujirekebisha basi ajiuzulu .