Pamoja na maigizo ys jana kule Tanga bado siwezi mtoa mtoto English Medium eti nipeleke Kayumba

Pamoja na maigizo ys jana kule Tanga bado siwezi mtoa mtoto English Medium eti nipeleke Kayumba

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba


Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele ya hadhara jana, watoto wao wapo elementary 😂😂😂

Moderator mbona mnaweka heading ambayo mimi sikuandika. Mimi sijasema maigizo, this is very incompetent of you
 
Back
Top Bottom