PreGE2025 Pamoja na makosa yote Halima Mdee anahitajika kuongeza mapambano ya no reform no election!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,311
Reaction score
4,689
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!

Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
 
Halima Kwa Sasa hawezi kuja huko anajiandaa kuwa Waziri
 
Mambo yaliendelea yeye akiwa Covid 19 na yanaweza kundelea bila uwepo wake.
 
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!

Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
Hata wafungwa wanapewa fursa ya kuingia jeshini ili waende front line kupigania nchi yao!
 
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!

Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
Naunga mkono hoja !
Hakuna uadui kwenye Siasa !
 
Kumbe ni kweli CDM imeshindwa kuRecruite vijana mashuhuri wengine mpaka iendelee kuwategemea hawa wasaliti wa wazi wazi waliokula mishahara na malupulupu kwa miaka mitano wenzao wakiwa alosto kupigania chama?
 
Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !!

Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano

..wamuache hukohuko atakitoa chama kwenye reli.

..focus ya chama sasa hivi ni " No reforms No elections. "
 
Back
Top Bottom