Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.