Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Wewe ukiitwa mjinga utakataa ?

Kuna kitu Mabeberu yanatoa bure?
Kama hawatoi bure hizo hela mnapokea za nini halafu mnakuja kulalamika huku eti mabeberu wanawashika shika makalio wakati mkiwa private mnawaruhusu hadi wanaingiza vidole.
 
Rwanda kama sasa wanataka kurudi Mombasa hakuna wa kuwazuia
Nyie chadema sasa hivi tumeshawajua vizuri .Migomo ya madereva wa Tanzania upanfe Wa Kenya,Zambia ,Rwanda kote CCM tu ndio tumesimama na madereva kutetea madai ya madereva wetu nyie wala !!! kazi yenu kubweka tu kama mibwege ohhh Rwanda wako sahihi ,ohhh kenya wako sahihi ,ohhh Zambia wako sahihi ohhh Uganda sahihi ujinga mtupu lichama hata halijui wajibu wake kuwa wajibu namba Moja ni kwa wapiga kura watanzania hata kama ulipata kura mbili
 
Mkuu Mabeberu hayatoi kitu bure hata siku moja tunafanya biashara yanatutegemea

Sisi tukiacha kununua na kukopa kwao Nchi zao zitafilisika

Mabeberu yanaitegemea Africa kwa kiwango kikubwa
Kama hawatoi bure hizo hela mnapokea za nini halafu mnakuja kulalamika huku eti mabeberu wanawashika shika makalio wakati mkiwa private mnawaruhusu hadi wanaingiza vidole.
 
Nyie chadema sasa hivi tumeshawajua vizuri .Migomo ya madereva wa Tanzania upanfe Wa Kenya,Zambia ,Rwanda kote CCM tu ndio tumesimama na madereva kutetea madai ya madereva wetu nyie wala !!! kazi yenu kubweka tu kama mibwege ohhh Rwanda wako sahihi ,ohhh kenya wako sahihi ,ohhh Zambia wako sahihi ohhh Uganda sahihi ujinga mtupu lichama hata halijui wajibu wake kuwa wajibu namba Moja ni kwa wapiga kura watanzania hata kama ulipata kura mbili
Trust me hakuna Dereva anaipenda ccm madereva ndio wako msitari wa mbele kwenye kukumbana na rushwa ya serikali ya ccm kama Matrfiki na maafsa wa umma

Kutoka Dar Tunduma dereva lazima imtoke elfu 80 ya fedha zake za kujikimu kwa ajili ya rushwa

Ccm inatetea matumbo yao binafsi tu hakuna cha ziada

Leo hii kusema na ule ukweli Rwanda dereva wa kitanzania anajiai kuliko akiwa kwenye nchi yake

Dereva akiwa Rwanda hatoi rushwa hata senti moja ila akiwa Tanzania Matrafiki kazi yao ni kubakia watu overspeeding kwa kujificha juu ya miti
 
Ambacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.
Uko sahihi mfano mdogo Lake oil ana mamia ya magari yenye namba za usajili Wa Rwanda na ana mamia yenye usajil Wa namba za Tanzania
 
Dereva akiwa Rwanda hatoi rushwa hata senti moja ila akiwa Tanzania Matrafiki kazi yao ni kubakia watu overspeeding kwa kujificha juu ya miti
Sasa kama Rwanda kuzuri mbona madereva wanakugomea kuwa kubaya
Kawaida ungetarajia wangegoma Tanzania kuwa hawaendeshi sababu rushwa Kali!!! Mbona wanaigomea Rwanda unayoisifia kuwa nzuri hawana neno na unakokuita kubaya Tanzania wana maneno na kwako unapopaita pazuri Rwanda!!!!! Hushangai?
 
Madereva wetu wametaabika vya kutosha
Unyanyasaji waliokuwa wakikumbana nao wasoma meters kule Soweto ulileta ubunifu wa meter za LUKU.

They may win this battle but surelly drivers will lose this war.
 
Wewe ukiitwa mjinga utakataa ?

Kuna kitu Mabeberu yanatoa bure?
Hata mie nashangaa maana kule kwao nako kuna masikini na hadi ombaomba wapo ila et wao wanakuja kutoa misaada ya kujenga barabara afrika et bure kabisa!
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anasema Jana Tanzania Ikifunga Mpaka Majirani Hoi
 
Sasa kama Rwanda kuzuri mbona madereva wanakugomea kuwa kubaya
Kawaida ungetarajia wangegoma Tanzania kuwa hawaendeshi sababu rushwa Kali!!! Mbona wanaigomea Rwanda unayoisifia kuwa nzuri hawana neno na unakokuita kubaya Tanzania sana maneno na kwako unapopaita pazuri Rwanda!!!!! Hushangai?
Hii ni sintofahamu kwa sababu ya korona na ni ya muda mfupi tu
 
Sio lazima kupeleka mzigo huko Kuna maeneo mengi tu yanahitaji kusafirisha mzigo,,Kanda ya ziwa tunahitaji magari kubeba mchele,viazi,karanga na pamba kupeleka dar,warudishe magari huku.
😁😁
 
They may win this battle but surelly drivers will lose this war.
CCM tuko na madereva wetu chadema kaeni mbali they will never loose this war we are united together with our drivers Nyie mibwege ya chadema endeleeni ni mi lock down koko yenu
Huku nje tuachieni CCM tuliokataa Lock down tupigane vita na madereva wetu
 
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA

Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini

Huna akili wewe, dry port kitu gani, gharama za kupita nchi mbili ni tofauti na kupita nchi moja, pili hapa kwetu ni karibu akisha load mzigo sehem ya ukaguzi ni mpakani kwake lakini kenya mpaka akaguliwe mara mbili uganda, bado hapa kwetu ni karibu sasa nani anataka ghalama kubwa? Watarukaruka mwishoni watanasa tu. Pia ukumbuke mteja ndo anataka mzigo wake upite wapi na sio nchi.
 
Back
Top Bottom