t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mie Sina ubaya na wao kuweka tight measure kuhusiana na corona , infact wanafanya hivyo kwa maslahi yao zaidi , Ila wakati huo huo sisi tuna fursa Kama taifa ya kuigeuza hii changamoto itufae , mizigo ishushwe tu boda ili waendelee kupata supply whilst na sisi hatupotezi
Sent
Sent