Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Hii jumuiya ya Afrika mashariki kuna wakati huwa siielewi kabisa!Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Wamegoma kuingia Rwanda walifuata nini sasa Mpakani ?Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Ila tunawanyanyasa nchi Jirani zetu pamoja na raia wetu. Mazao yatatuozea nchi kuwa Jirani ina maana zinasaidianaHali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Alichemka!Hilo swala ni la mkuu wa mkoa wa Kibungo
Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.Kagame ataua raia wake kwa kuwaiga Mabeberu
Eti lockdown
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara wao hawataki kuitumia hiyo njia ndg.Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
wanakula vizuri wanalala vizuri upande wa Tanzania wana shida gani wanalalamikia upande wa Rwanda kuwa kule kubayaSasa si warudi kwao mbna wame kaa uko wana subiri kubembelezwa au
Dark Side
Sasa kama wanajenga dry port hapo Kiyanzi Wasafirishaji watu watakuwa wanaishia hapo labda kwa wale wa mizigo ya Bukavu na GomaAlichemka!
Pamoja naye alikuwepo mtu wao wa forodha,Rpc wa Mkoa wa mashariki (Kibungo) na maafisa wengi.
Mda huu wanaendelea kupaboresha hapa Kiyanzi karibu na boarder ili iwe dry Port.
Walikua wanapima kina cha maji ,wameona kirefu ,na bado mpaka waite mma!Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Serikali ya Rwanda ikiamua watakuwa hawana gisiAsilimia kubwa ya wafanyabiashara wao hawataki kuitumia hiyo njia ndg.
Wako kwao upande wa Tanzania.Sasa si warudi kwao mbna wame kaa uko wana subiri kubembelezwa au
Dark Side