Mi sijasema popote kuwa jamaa Ni mjinga , hayo unasema wewe , ninachojadili na wewe Ni uhalisia wa gharama za Rwanda kushusha mzigo Mombasa then usafirishwe Hadi naivasha kwa sgr , then aubebe kwa trucks Hadi malaba Uganda then Kigali! Halafu iwe ni rahisi kwake ? NakataaKwa hiyo unafikiri Kagame ni mjinga?
Kumbuka nchi zenye sea port zinafanya kazi kiushindani kwa mfano Djibouti na SudanHakuna compromise kweye road toll mkuu, popote duniani.
Kagame si mjinga wa kutumia corridor ghali na kuacha rahisi lazima kuna mazungumzo nyuma ya pazia ninavyofikiriaSo far najua atatumia naivasha dry port
Kama ilivyo Dryport ya Isaka isingekuja kufunguliwa na HabyarimanaSidhani Kama kagame amejenga dry port yake
Hivi cimerwa zamani ilkuwa inategemea fuel kutoka wapiKama trend itaendekea kwa mwezi tu , Rwanda atafunga kiwanda cha Cimerwa mana kinategemea coal supply kutoka southern Tanzania
Unadhani wamepewa free ride for nothing?Kwa free ride aliyowapa magufuli kwa Rwanda kukumbuka kurudi Mombasa Ni ndoto,
Jamaa hapa wamepewa unafuu Sana , sidhani kama kuna jirani ana nafasi kama, rwanda, Kwanza nafuu yao ipo kwenye road toll, jamaa wanalipa be dola 163 tu kutoka rusumo hadi dar to rusumo
Pili jamaa wanapiga pia route za humu kwa humu ,kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa Rwanda au kokote kule.
Hapo alipokazia Rwanda ndipo na sisi pa kutokea na kuweka sheria zetu ili tuondoe mzizi wa fitna
Sent
Hivi mkuu wale Mount Meru Petroleum magari yake alienda kuyasijilia Rwanda sio?au hua kuna mount meru Petroleum(T) na mount meru Petroleum(R)Hakuna mjinga anayeweza kusajili gari ya Rwanda Tanzania hayupo , Sana Sana watanzania baadhi ndo wanasajili magari rwanda
Tanzania tuna utitiri wa sheria na mamlaka linaookua swala la vibali vya kutembeza lori
Sent
Hii imekaa fresh zaidi.Mie Sina ubaya na wao kuweka tight measure kuhusiana na corona , infact wanafanya hivyo kwa maslahi yao zaidi , Ila wakati huo huo sisi tuna fursa Kama taifa ya kuigeuza hii changamoto itufae , mizigo ishushwe tu boda ili waendelee kupata supply whilst na sisi hatupotezi
Sent
Not that easy!Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Basi tuache kukopa kwao yafilisike yaje huku kuomba msaada.Mkuu Mabeberu hayatoi kitu bure hata siku moja tunafanya biashara yanatutegemea
Sisi tukiacha kununua na kukopa kwao Nchi zao zitafilisika
Mabeberu yanaitegemea Africa kwa kiwango kikubwa
Sio tatizo Tanzania ni kama maji ukikosa kuoga utayanywa tuAzam anaviwanda huko ndugu
Jidanganye
Coal from songea Ni addictive mkuu, very high calorific value , dangote ana gas supply pale hiari lakni bado yupo addicted na songea coal, hata Uganda na Kenya wana abundant supply ya south afircan coal kupitia Mombasa lakini bado wanaipa high value coal ya songeaHivi cimerwa zamani ilkuwa inategemea fuel kutoka wapi
Mimi nimeshawahi kupeleka mafuta Cimerwa Cyangugu miaka hiyo walikuwa wanatumia oil kabla ya kuanza kutumia makaa ya mawe huko songea
Kwa sasa huenda wakarudi kwenye oil kwa sababu mafuta yameshuka sana huo ni mtizamo tu
Nadhani mount meru anasajili kampuni kila nchi anayopeleka mzigo.maana hata Zambia ana gari zina usajili wa huko.Hivi mkuu wale Mount Meru Petroleum magari yake alienda kuyasijilia Rwanda sio?au hua kuna mount meru Petroleum(T) na mount meru Petroleum(R)
Kila kitu kinawezekana Rwanda wanaangalia afya zao kwanza kabla ya kila kituCoal from songea Ni addictive mkuu, very high calorific value , dangote ana gas supply pale hiari lakni bado yupo addicted na songea coal, hata Uganda na Kenya wana abundant supply ya south afircan coal kupitia Mombasa lakini bado wananipa high value coal ya songea
Nina Imani hata hamna mfanya biashara anayeweza kurudi kutumia heavy oil, kutengeneza clinker , labda uniambie Cimerwa waamue kuimport hiyo clinker .
Sent
Sipingi hatua wanazochukua kuhusiana na korona, infact hata mie na support hatua wanazochukua sababu sisi kwa kweli tumezingua , ninachosisitiza ni kuichukua hii changamoto ya wao kutuzuia kuingia kwao, badala yake sisi tuigeuze fursa.Kila kitu kinawezekana Rwanda wanaangalia afya zao kwanza kabla ya kila kitu
Wamepitia mauaja ya Kimbari kwa hiyo upotevu wa roho za binadamu bure sijui kama wataukubali
Tena unaosababishwa na uzembe wa kiongozi mmoja wa nchi jirani
Kiongozi hapa vipi juu ya OP Cost?Sipingi hatua wanazochukua kuhusiana na korona, infact hata mie na support hatua wanazochukua sababu sisi kwa kweli tumezingua , ninachosisitiza ni kuichukua hii changamoto ya wao kutuzuia kuingia kwao, badala yake sisi tuigeuze fursa.
Matter of the fact ni kuwa hawana ujanja wa kuiepuka Tanzania , Kama wanangalia operation cost za njia ya Kenya na Uganda .
Sent
Correct! hiyo iko zaidi kisiasa kwa Rwanda kuliko uhalisia , Ni mbinu tu za kibiashara kuonesha kuwa ana options kadhaa ili kupunguza monopoly za Tanzania
Go to hell.Kila kitu kinawezekana Rwanda wanaangalia afya zao kwanza kabla ya kila kitu
Wamepitia mauaja ya Kimbari kwa hiyo upotevu wa roho za binadamu bure sijui kama wataukubali
Tena unaosababishwa na uzembe wa kiongozi mmoja wa nchi jirani
Kumbe sisi ndio tunawalisha, na kwa upande mwingine dereva uliyebeba nyanya unagomaje ??Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini