Sisi mbona Sukari tunawabembeleza Waganda tukijifanya kuwapelekea maradhi majirani zetu eti kwa sababu sisi ati tuna chakula wewnzetu wanajali afya zaoMizigo ya Rwanda hata sasa ni kiasi kidogo sana. Wakiamua kutumia port ya Mombasa effects zake kwa TZ ni almost negligible.
Swali, kwanini sasa wasichukue chakula huko Kenya na Uganda?
I am already in hell swimming in the sea of corona daresalaamGo to hell.
Je hao wanaokosa Chakula? Bora madereva wetu wanaweza kuja hata kupumzika Runzewe.Madereva wetu wametaabika vya kutosha
Fedha za kujikimu zitaishia hapo Shamba la nyegeJe hao wanaokosa Chakula? Bora madereva wetu wanaweza kuja hata kupumzika Runzewe.
una elimu gani wewe?Wamegoma kuingia Rwanda walifuata nini sasa Mpakani ?
Si wasinge attemp hata kwenda Mpakani
Kama demu aliyeingia Gheto halafu anagoma kuchojoa
Sent using Jamii Forums mobile app
hawajavuka ina maana wako kwao.Sasa si warudi kwao mbna wame kaa uko wana subiri kubembelezwa au
Dark Side
chadema yenyewe ishakufa tena hiyo, mbowe kakinyonga chama mchana kweupeeeKama kawaida yenu chadema alyways mnasimama na mataifa ya nje kutetea maslahi yao
CCM tu sisi ndio watetezi pekee Wa maslahi ya watanzania
Madereva komaeni hivyo hivyo .Madreva Wa Rwanda wakija kwetu ha tu Wa escort wala kuwapangia walale wapi sijui kwa gharama za importer !! wako free
Mimi kama mwana CCM Niko nanyi kwenye madai yenu watanzania wenzangu tuko pamoja. Chadema wako pamoja na kagame kama muna kadi za chadema chaneni chomeni moto
Pesa za kujikimu zikiisha tutawaongezea matajiri waoFedha za kujikimu zitaishia hapo Shamba la nyege
Utawaongeze nini?zikiisha tutawaongezea matajiri wao
Pesa za kujikimuUtawaongeze nini?
ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA
ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ
Na chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
hivi na hili suala la nzige wanaowashambulia kenye, hali ya upatikanaji wa chakula itakuwaje + na hili la kufungiana mipaka?Na chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?
Ndio wakome ku copya na ku paste kila kitu from Abroadhivi na hili suala la nzige wanaowashambulia kenye, hali ya upatikanaji wa chakula itakuwaje + na hili la kufungiana mipaka?
Hebu tuangalie chakula kikuu cha Wanyarwanda ambacho ni Mchele na Ndizi Ndizi wanajitosheleza Mchele nao wanatoa VietnamNa chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?
Tunayo shida kubwa , hata hivyo Ubinafsi haujabaki nyuma.ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA
ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ
Kwahiyo kabla ya wakoloni kuweka mipaka tanganyika au Kenya (kwa mfano) ilikuwaje na iliitwa nchi gani?ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA
ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ