Hauna tofauti na kitunguu au bomu la machozikwanza mwandiko wako unaumiza macho!
bora ya kitunguu maji, hili ni bom la machoz kalipua lipua tuHauna tofauti na kitunguu au bomu la machozi
Labda anliandika haraka haraka kukumbana na wengine.bora ya kitunguu maji, hili ni bom la machoz kalipua lipua tu
Hahahahaha.! huenda alijiandaa vyema kuandika uzi, akabugia chai ya moto, Ikamuunguza.Labda anliandika haraka haraka kukumbana na wengine.
Sometimes tusimlaumu sana.
sistahiri kwa lipi mkuu, wakat ulivo andka vinaonekana.?Kwa kutokuelewa imekuwa nafuu. Maana hustahili
Halafu anakuja kukuambia mtoto alichezea simu.Hahahahaha.! huenda alijiandaa vyema kuandika uzi, akabugia chai ya moto, Ikamuunguza.
Imeplekea aandike ili amalze andko tu
hapo sasaHalafu anakuja kukuambia mtoto alichezea simu.
Siku nyingine atulie aandike na afanye uhariri.hapo sasa
ameukalia kmya uzi wake, ila atarud tu, aone hii coment.Siku nyingine atulie aandike na afanye uhariri.
Ngoja tuone kama atabadilika.ameukalia kmya uzi wake, ila atarud tu, aone hii coment.
Nahs ameenda kupata urabu tena
wacha tuoneNgoja tuone kama atabadilika.