Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Hahahahahaaa Unamuogpasana Lissu hata kumtaja tu unatetemeka. Najua unamkubali ila sasa kumtaja mbele ya ccm wenzako watasema.unamhujum rais....hahahaaa
Nataman Sana kujua kazi Tano za TUNDU alizowahi kuzifanya ambazo zitasababisha watanzania wamuamini na kumpa kura...
 
Hebu tusaidie na sisi...
Zitto Kabwe kafanya mambo gani Kwa Jamii ili watanzania Tumuamini tumpe kura
 
Pascal Mayalla heshima kwako mkuu. Sijataka kunukuu bandiko lako lote lakini umeeleza vizuri na kwa kina.

Kwa upande wangu, hata kama mtu hataki kumchagua mheshimiwa aliyepo madarakani, hatuna mbadala au upinzani thabiti, haupo.
 
Orodha ikiongezwa
7. CDM ni TL au Mbo.. au Ex-ccm
8.TLP ni JpM
9.
Nadhani kipindi cha Mchonga Meno ilikuwa yeye na kivuli. Bado atashinda
 
Wapinzani ndio wanaotungusha nchi hii, ujinga walioufanya 2015 inaligharimu Taifa kwa muda mrefu sana.
 
hatuwezi kuwa na nchi ambayo haina haki sawa kwa wananchi wote. hakuna haki sawa kisiasi, kiuchumi, na kijamii
Mkuu unaposema haki sawa unamaanisha nini? Au unaongelea matabaka?
 
Kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.Ni Sawa na kuweka maji kwenye gunia au Kujaza upepo kwenye gurudumu lililotoboka.

Nimejaribu kufuatilia utaratibu wa zima moto unaoendelea wa kuandikisha na kutoa vitambulisho vya kupiga kura Tanzania nzima nikagundua nia na lengo lao ni ileile kama walivyozoea.

Kwa utaratibu huu hata asiyemtanzania anachukua kadi.Na hili sio kwamba halijulikani ila tu lengo Lao wanalijua litimie.Ila kwa mwendo huu na kasi hii ajali in a one kana wazi. ndo maana Wanasema kushiriki uchaguzi ni Sawa na kulima nafaka kwenye pori la wanyama.

Mwenye akili fikiria unakwenda kituoni na picha.Hakuna cha kuthibitisha Uraia wako au cha kuthibitisha uwepo wako eneo ulilotokea.Hata Jina la balozi wake Halijui.Anapewa kadi.Hii ni nini Sasa.

Watanzania wa sasa sio wajinga.
 
Mbona umemshindanisha na watu dhaifu? Ina maana kule CHADEMA hukuona majembe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…