Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Hahaha uchaguzi ukiwa huru na haki, hata Magufuli angepewa majeshi yote, bado angeshindwa. Ni uongo na ujinga kudhani nchi hii huwa inafanya uchaguzi.
Wao ccm wanawadanganya wasio watanzania, sisi watanzania tunaelewa ukweli wa hili.
 
Mkuu Chakaza, CCM unaijua au
unaisikia tuu?. Unaujua utaratibu wa CCM kwa rais aliyemadarakani kipindi cha kwanza?. Anyway kujifurahisha ruksa.
P
CCM niijuayo ni ile iliyokuwa inawatumia wazee wake kama hazina. Tusijidanganye mkuu Pascal kuwa hii inayoita watangulizi wake wapumbavu au wanawashwa kuwa ndio ileile ccm tuijuayo. No hii ni ccm nyingine kabisa.
 
Are you for real! Huzijui?
Kama huzijui, bila shaka hata za Tundu Lissu hizijui, ndio maana ukaishia kutoa mipasho kama hii badala ya kumpa jibu huyo aliyeuliza kazi alizofanya Tundu Lissu; ambazo zipo nyingi na zinajulikana.

Huyo niliyemjibu hakuwa anauliza bali alikuwa anakejeli, hivyo nimempa jibu kulingana na kejeli yake. Ina maana hajui kwamba Lissu ni mbunge, au ubunge sio kazi? Hajui kuwa Lissu ni wakili? Kalamu1 ww sio mwalimu wangu unipangie kipi au nijibu vipi hapa jukwaani, ww pia maswali yake umeyaona, ungeweza kumjibu badala ya kunielekeza mimi nimjibu utakavyo ww au yeye. Hapa niko kwa utashi wangu na ninachangia nipendavyo na sio utakavyo ww. Pls don't lecture me since I don't need your consultation.
 
Ni sehemu gani nimekupangia ujibu nini?

Mimi nime'react' tu kwa hayo maneno uliyoandika hapo. Sasa huoni kwamba unataka kuninyima uhuru wa kujibu ninayoyasoma toka kwa mchangiaji yeyote humu JF?

Niogope kusoma na kuchangia mawazo juu ya ninayoyasoma kwa kuogopa kuitwa 'mwalimu'?
 
CCM niijuayo ni ile iliyokuwa inawatumia wazee wake kama hazina. Tusijidanganye mkuu Pascal kuwa hii inayoita watangulizi wake wapumbavu au wanawashwa kuwa ndio ileile ccm tuijuayo. No hii ni ccm nyingine kabisa.
Wee unazungumzia ile CCM zilipendwa, ile CCM ya Ujamaa na kujitegemea, ile CCM ya Azimio la Arusha yenye kuheshimu utu na wazee, CCM ile ilikufa na Nyerere, Azimio la Arusha, limezikwa.

Hii sasa ni CCM mpya, wazee kama Kinana na Makamba ni wapumbavu tuu, Mwenyekiti ndio kila kitu.
P
 
Magufuli anachangamoto nyingi, ila Lowasa lingekuwa tatizo kubwa zaidi kwa nchi yetu...
sasa lowasa si ajapita, na karudi huko lumumba, na mwenyekit wenu kampokea, nashangaa mnacholalama,, Lowasa hakufaa, magufuli anaefaa simumchague tena 2020
 
Ni sehemu gani nimekupangia ujibu nini?

Mimi nime'react' tu kwa hayo maneno uliyoandika hapo. Sasa huoni kwamba unataka kuninyima uhuru wa kujibu ninayoyasoma toka kwa mchangiaji yeyote humu JF?

Niogope kusoma na kuchangia mawazo juu ya ninayoyasoma kwa kuogopa kuitwa 'mwalimu'?

Na kuheshimu sana na ww hilo unalijua, unaponichomekea neno kwamba natoa mipasho naona unaruka mpaka wa heshima ninayokupa. Sikupangii cha kuchangia hapa jukwaani, uchangie usichangie is none of my business, lakini ikiwa nakuheshimu ukaanza kinichomekea lugha za kibazazi, nitavua kofia ya heshima kwako na nitakupa lugha za shombo mpaka uchanganyikiwe. Take care, as your are one of the guys a real appreciate and respect your meaningful contributions in this platform.
 
Sikupangii cha kuchangia hapa jukwaani, uchangie usichangie is none of my business, lakini ikiwa nakuheshimu ukaanza kinichomekea lugha za kibazazi, nitavua kofia ya heshima kwako na nitakupa lugha za shombo mpaka uchanganyikiwe.
It is okay zikitumika hizi 'lugha' kama zinastahiri kutumika hapo zinapotumika, hili halinipi shida hata kidogo.
Nitapima nilichokiandika, na kama kuna tatizo nitajitahidi kurekebisha. Kama ni swala la kupishana tu mawazo...'I will stand my ground'.
 
Sina tatizo la kupishana mawazo pls kwani ndio afya ya mijadala usitake kupotosha tafadhali. Nimekuambia ww sio wa kunichomekea lugha za kibazazi na wala sio wa kunipa muongozo nimjibu nani na vipi, kwani hayo maswali yalikuwa public, you could answer as well, instead of showing me how to respond to those stupid questions.
 
Nadhani tatizo linaanzia hapo penye "stupid questions" zinapojibiwa na kuongezewa na ufafanuzi na mifano kuzifanya hizo 'stupid questions' zisionekane kuwa ni 'stupid' kivile.

Ni kweli, nilikuwa na uchaguzi wa kumjibu aliyeuliza swali; lakini lile swali liliongezewa umhimu zaidi na majibu uliyompa wewe. Na huo ndio ukawa mvuto kwangu kuelekeza niliyoandika hapo kwa majibu yako; hasa kutokana na maneno niliyo'quote' katika jibu lako ambayo hayakuwemo katika swali la aliyeuliza.
 
Mimi nitaungana na watanzania wengi kutopiga kura hadi itakapopatikana katiba mpya.

Katika muktadha huu ambao nguvu ya CCM ni mchanganyiko wa CCM+POLISI +VYOMBO VINGINE VYA DOLA, kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.
Kuna ambao hata ufanye nini, wao, ni Magufuli
 
Back
Top Bottom