Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Wapinzani ndio wanaotungusha nchi hii, ujinga walioufanya 2015 inaligharimu Taifa kwa muda mrefu sana.
Walifanya ujinga gani ?!. Wananchi waliwachagua battalion na deraya zao zikazingira ukumbi wa bwawani. Huku ng'ambo ngoja kina Nape, December na Kinana yawakute . Walichezea maamuzi ya wananchi
 
Walifanya ujinga gani ?!. Wananchi waliwachagua battalion na deraya zao zikazingira ukumbi wa bwawani. Huku ng'ambo ngoja kina Nape, December na Kinana yawakute . Walichezea maamuzi ya wananchi
Magufuli anachangamoto nyingi, ila Lowasa lingekuwa tatizo kubwa zaidi kwa nchi yetu...
 
Umeshindwaje kutaja upande wa Saccos ya Chadema au kwa kuwa siyo chama cha siasa ila ni Saccos ya Mtei na Mbowe!
 
Pascal Mayalla heshima kwako mkuu. Sijataka kunukuu bandiko lako lote lakini umeeleza vizuri na kwa kina.

Kwa upande wangu, hata kama mtu hataki kumchagua mheshimiwa aliyepo madarakani, hatuna mbadala au upinzani thabiti, haupo.
Alichosema Pascal ni sawa na kuwaambia wachumba kwa vile washaonesha kuwa wanaupendo wa dhati, na wameshazaa watoto kadhaa basi hakuna haja ya wao kufunga ndoa!
 

 
Ndugu hapo ni Magufuli na Zitto tuu, na ngoma itakuwa kali sana.
 
Unarudia sana kuwa 2020 hakuna haja ya kufanya uchaguzi aendelee huyohuyo.
Nasema hivi Pasco, HATUTAKI NA TUTAMTOA ili nchi hii itoke kwenye lile kundi la nchi zisizo furaha.
Hivi Pasco wewe hupendi familia yako iwe na furaha?
CCM wenyewe hawamsimamishi tena na hilo analijuwa wazi ndio maana mikwara mingi na kutumia wapiga debe kina Musiba. Na kutopitishwa na chama chake ndio demokrasia waache vitisho utadhani yeye pekee ndio ana hati miliki ya kiti hicho na utaratibu huo ameukuta wa kura za mpeperusha bendera
 
Mkuu Chakaza, CCM unaijua au
unaisikia tuu?. Unaujua utaratibu wa CCM kwa rais aliyemadarakani kipindi cha kwanza?. Anyway kujifurahisha ruksa.
P
 

Labda kama unazungumzia kuwa tu na rais na sio rais bora. Kama tunataka rais bora ni hakika Magufuli sio na hatakaa awe rais bora. Huenda Zito akawa rais bora kwani una ufahamu unaowiana wa mambo ya uchumi wa kitaifa na kimataifa, siasa, kijamii ni. Ni muumini wa demokrasia. Sifa kubwa ya Magufuli ni kuamini katika miundo mbinu na kuisimamia, lakini hana ufahamu wa uchumi, siasa zote za kitaifa wala kimataifa, hawezi wala haimudu demokrasia. Kwa ujumla anaendesha nchi kizamani katika dunia ya kisasa.
 
Teh huyu Lotayesa nilikuwa napenda lile zee la bao la mkono lilivyokuwa linatangaza matokeo ya kura
Anavyo tamka kwa madaha
 
Hebu tusaidie na sisi...
Zitto Kabwe kafanya mambo gani Kwa Jamii ili watanzania Tumuamini tumpe kura

Ukitaka kuoa mwanamke lazima uonyeshe uliwafanyia nini wanawake wengine kabla ya kuoa ndio uaminiwe kupewa mke? Kiongozi anapimwa kwa kazi aliyofanya akiwa madarakani na sio wakati hajaipata hiyo kazi.
 
Taja kazi tano alizofanya Nyerere hadi akawa rais wa Tanzania na kuishia kukaa madarakani kwa 24yrs.
Are you for real! Huzijui?
Kama huzijui, bila shaka hata za Tundu Lissu hizijui, ndio maana ukaishia kutoa mipasho kama hii badala ya kumpa jibu huyo aliyeuliza kazi alizofanya Tundu Lissu; ambazo zipo nyingi na zinajulikana.
 
Hivi Kuna mtu ambaye anatumia ubongo wake sawa sawa anaweza kuchagua tofauti na Magufuli kwenye orodha hiyo?
mungu akihamua anaweza uyo ngosha wenu asiwe raisi mwaka 2020,na January ndo akashika nchi au nape, au ikawa vyovyote,, nyepesi nyepesi kamati kuu hawatompa muhula mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…