Hahahahahaaa Unamuogpasana Lissu hata kumtaja tu unatetemeka. Najua unamkubali ila sasa kumtaja mbele ya ccm wenzako watasema.unamhujum rais....hahahaaa
Haya Bhwanah. Naona kuna maendeleo kidogo kama sio ile tabia ya wana CCM tunayoijua.
Seriously, huenda nami ningekuunga mkono kwa wale "wasiotajwa"; lakini nisingemwacha Zitto nje ya serikali hiyo mpya katika wadhifa anaostahili.
Ukiwaacha hao 'wasiotajwa', CCM ya Magufuli bila ya kiapo cha kuacha kabisa haya tuliyoshuhudia miaka minne hii, itakuwa ni kuliumiza taifa hili na kuliacha na majeraha ya kudumu.
Yasingekuwa haya madudu, sioni sababu ambayo ingemzuia kuchaguliwa hata bila kufanya kampeni.
Sasa sijui ni kwa nini aliamua kuendesha mambo yake jinsi hii alivyoiendesha katika ngwe hii. Hapakuwa na sababu kabisa ya kuyafanya hayo madudu kwani mengine anayofanya yangemletea heshima kubwa zaidi kwa watu.
Mkuu Britannica, heading yako haijakaa sawa, na contents pia haijakaa sawa.
Heading yako hii
"Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena", hillo neno "akisimama" hapo ulipoliweka, lina canotation meaning ya possibility ya
kama akisimama as if anaweza asisimame, wakati ukweli ni kuwa kwa mujibu wa taratibu za CCM, rais Magufuli ndie mgombea pekee wa CCM kwa 2020, hivyo hiyo akisimama haikupaswa kuwa hapo ulipoiweka.
Najua nia yako ni kumtumia rais Magufuli as comparator kumlinganisha na hao uliowataja, yaani akisimama na wafuatao, heading yako ingepaswa iwe "Pamoja na Mapungufu ya Magufuli, mwaka 2020 akisisimama na wafuatao, ntamchagua tena".
Sasa nije kwenye contents
Kwavile jina la Magufuli limetanguliwa na pre qualifications "mapungufu" neno hilo ni pre qualifier, ulipaswa kwenye content uyaseme hayo mapungufu.
Mwisho ni my take.
Kwa my honest opinion, hujamtendea haki Zitto kwenye u serious.
Kwangu uchaguzi wa 2020, Zitto ndie the one and only mgombea mwenye impact kama akisimama na Magufuli.
Ni kwa vile the political playing field ya the game of politics kwenye siasa zetu is not level, kwenye uchaguzi wetu wa rais ni kama kugombea kisu cha makali kuwili, huku mgombea mmoja ameshika kwenye mpini, mwingine kwenye makali kuwili.
Mgombea mmoja anazunguka na full state backing ya a sitting president na ving'ora, media, state campaign budget, msafara wa state cars, huku mwingine with nothing, halafu watu hawa washindane, unategemea nini?.
Wenzetu nchi za Scandinavian na Nordic, wagombea urais wao lazima wafanane, hata kama alikuwa a sitting president anayegombea kwa mara ya pili, ile presidential status yake inakuwa scraped yote isipokuwa ulinzi, hakuna msafara, hakuna kumtumia state funds na wagombea wingine wote wa urais wanapatiwa state security na vyama kupewa ceiling ya campaign spending ili kutengeneza level playing field, wagombea wote wafanane, watu washindanishe sera na kujieleza.
Just imagine Zitto asimame na Magufuli, halafu Zitto naye apewe vitu vyote kama Magufuli, washindanishe sera na kujieleza, kiukweli kabisa, Magufuli atakuwa na kazi, kitakacho mfanya Magufuli ambwage Zitto ni his good track record ya deliveries, Flyovers, ndege, SGR, Stigler, Elimu bure, Afya, maji, maendeleo ya kuonekanika, Tanzania ya viwanda, etc, wakati Zitto atakuwa hana national deliveries zozote to compare, ndio maana nimeshauri humu kwa 2020, Tanzania hatuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais, Magufuli atosha.
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Yy ndio kashika usukani hivyo anaonekana zaidi pia hakuna ubaya kwani yy sio Malaika japo anapigana sana aje awe kiongozi wa malaika kama asemavyo mwenyee
Mimi nitaungana na watanzania wengi kutopiga kura hadi itakapopatikana katiba mpya.
Katika muktadha huu ambao nguvu ya CCM ni mchanganyiko wa CCM+POLISI +VYOMBO VINGINE VYA DOLA, kushiriki uchaguzi ni sawa na kulima nafaka kwenye hifadhi ya wanyama pori.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.